• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 5:50 AM

Wanahabari wanaoangazia kesi za bangi kulindwa

Na ISABEL GITHAE MAAFISA wa polisi wa kaunti ya Meru wamewahakishia wanahabari wanaofanya kazi katika eneo hilo usalama wao...

Aambia korti mkewe huombea bangi kabla ya kuivuta

Na TITUS OMINDE MUME wa mchungaji mmoja katika mtaa wa Langas mjini Eldoret, alisababsiha kicheko mahakamani alipodai kuwa mkewe huombea...

Canada nayo pia yahalalisha matumizi ya bangi

BBC na PETER MBURU CANADA imekuwa taifa la pili ulimwenguni kuhalalisha matumizi ya bangi, kwa misingi ya kimatibabu. Hii ni baada ya...

Anaswa na sanduku lake la aiskrimu alilosafirishia bangi

Na CHARLES LWANGA MKUU wa Polisi Kaunti ya Kilifi amewataka maafisa wa polisi kuwa makini katika vita dhidi ya mihadarati baada ya...

Bangi ni hatari kwa akili za watoto – Utafiti

Na PETER MBURU VIJANA wa umri mdogo ambao wanatumia bangi wanajisababishia matatizo ya muda mrefu katika akili zao ambazo ziko katika hali...

Wanaopigania bangi ihalalalishwe wanasaka umaarufu – Mututho

Na JOSEPH WANGUI ALIYEKUWA mwenyekiti wa Mamlaka ya Kitaifa ya Kukabiliana na Mihadarati (NACADA) John Mututho, amepinga vikali mipango...

Coca-Cola kuanza kutengeneza soda yenye bangi

Na MASHIRIKA KAMPUNI ya kutengeneza vinywaji vya soda ya Coca-Cola imedokeza kuwa inawazia kuanza kutengeneza soda zilizo na...

Dume ‘lililosafiri mbinguni’ lasema linapanda bangi kwa kuwa ni ‘amri ya Maulana’

Na PETER MBURU POLISI Kaunti ya Kiambu wanamzuilia mwanamume mmoja aliyekamatwa Jumatano kwa kupanda bangi shambani, akidai alifanya hivyo...

Magunia 11 ya bangi yanaswa, mlanguzi ahepa

NA RICHARD MAOSI POLISI katika eneo la Naivasha Jumatatu usiku walishambulia nyumba ya mlanguzi wa dawa za kulevya na kunasa magunia 11 na...

Bastola iliyopotea polisi akipambana na wauzaji bangi yapatikana

[caption id="attachment_10846" align="aligncenter" width="800"] Afisa wa polisi aonyesha bastola iliyopatikana katika Kituo cha Polisi cha...

Ninavuta bangi ili kuimarisha maarifa, mwanamume aambia korti

Na Stephen Munyiri MWANAMUME mmoja alivunja watu mbavu katika mahakama moja ya Karatina, Kaunti ya Nyeri Jumatatu, baada ya kueleza korti...

ONYANGO: Mjadala wa kuhalalisha bangi haufai kupuuzwa

Na LEONARD ONYANGO BUNGE la 12 linazidi kujizolea aibu tele. Hivi karibuni baadhi ya waheshimiwa walipokea mlungula wa Sh10,000 kila...