• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 8:50 AM

KAULI YA WALIBORA: Kiswahili kitakua tu kwa ushirikiano, si ushindani mkali!

Na KEN WALIBORA CHAMA cha Ukuzaji Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) kiliasasisiwa mwaka wa 2012 nchini Marekani kwa lengo la kuchapusha...

KAULI YA WALIBORA: Kongamano kuhusu ugaidi Iraki lilivyonitoa uziwi kuhusu Kiarabu

Na KEN WALIBORA KIARABU hiki kina nini? Mtu mmoja, mkereketwa mkubwa wa Kiswahili aliwahi kunisuta sana kwa kuwa sikijui...

KAULI YA WALIBORA: Prof Chimera hana mfano kwa kujitoa sabili kukuza lugha

Na KEN WALIBORA NILIPANDA basi wiki iliyopita kuenda zangu Kilifi kuitika mwaliko wa wanafunzi wa Kiswahili wa Chuo Kikuu cha...

KAULI YA WALIBORA: Ajabu ya kuonea fahari Kiswahili chenye mabaka!

Na KEN WALIBORA NINI kitawafanya Wakenya wakizungumze Kiswahili sahihi na sanifu? Hili swali linanitanza wala sijui jibu...

KAULI YA WALIBORA: Kiswahili hakitapiga hatua bila mikakati, amri na mapinduzi

Na KEN WALIBORA KINA CHA FIKIRA CHUO Kikuu cha Riara kilichoko katika barabara ya Mbagathi, Nairobi, kilipokea nakala zake za kwanza...

KAULI YA WALIBORA: Fahari iliyoje Fasihi ya Kiswahili nayo pia kutafsiriwa!

Na KEN WALIBORA BAADHI ya vitabu bora nilivyowahi kuvisoma havikuandikwa kwanza katika lugha ninayoelewa. Mathalani nilikumbana na...

KAULI YA WALIBORA: Wanaomkosoa Prof Ngugi wa Thiong’o bado hawajamshiba

NA PROF KEN WALIBORA LIMEFANYIKA kongomano kubwa kuhusu tafsiri katika jiji la Nairobi mnamo Februari 8 na 9 mwaka huu. Mwandishi...

KAULI YA WALIBORA: Fasili ya neno ‘binamu’ inavyoibua mtanziko

NA PROF KEN WALIBORA Nini maana ya neno “binamu” katika Kiswahili? Je, ni kisawe kabisa cha neno la Kiingereza “cousin”?...

KAULI YA WALIBORA: Kiswahili bado ni mtoto wa kambo huku kwetu Kenya

NA PROF KEN WALIBORA Mnamo wiki iliyopita nilihudhuria kongomano la kitaifa dhidi ya ufisadi. Na mpaka sasa sijui kwa nini ndugu zetu...

KAULI YA WALIBORA: Kanuni ya msingi ya utamkaji izingatiwe katika utohozi

NA PROF KEN WALIBORA Je, ni sawa kutafsiri “Central Police Station” kama “Kituo cha Kati cha Polisi”? Ikiwa ni sawa basi...

KAULI YA WALIBORA: Yamezuka mapuuza kwa fasihi zetu zinazosheheni umilisi usiopitwa na muda

NA PROF KEN WALIBORA Katika utangulizi wa kitabu chake Swahili Sayings, S. S. Farsi anasema kwamba kipera cha fasihi simulizi kiitwacho...

KAULI YA WALIBORA: Tukumbatie wingilugha ili kukabili changamoto za kimawasiliano

NA PROF KEN WALIBORA Sikujua tija ya wingilugha hadi nilipozuru Senegal kwa mara ya pili mwezi huu unaofunga mwaka wa 2018. Mwaliko...