• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Ligi Kuu: KCB FC yapiga hatua baada ya kung’ata Rangers.

Na JOHN KIMWERE KCB FC imecheka na wavu mara mbili ndani ya kipindi cha kwanza na kusajili ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Posta Rangers...

KCB na PFC zakubaliana kukuza vipaji

Na JOHN KIMWERE TIMU ya KCB FC imeingia mkataba wa muda mrefu na Protege Football Club (PFC) kwenye jitihada za kukuza wachezaji...