• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 7:47 PM

Nyumba aliyoagiza Rais ijengwe yapakwa rangi

Na ERIC MATARA SIKU moja baada ya mamake Dennis Ngaruiya, kijana aliyemtumbuiza Rais Uhuru Kenyatta na shairi la kuvutia miaka minne...

Serikali kuanza kukata wananchi ada ya nyumba kwa mshahara

Na NICHOLAS KOMU SERIKALI itaanza kuwatoza wafanyakazi wote wa umma na wa sekta ya kibinafsi asilimia 1.5 ya mshahara wao kufadhili...

Serikali yaomba wawekezaji kuisaidia kujenya nyumba za bei nafuu

Na BERNARDINE MUTANU Serikali inalenga kuimarisha maeneo ya makazi ya gharama ya chini. Kutokana na hilo, imetuma ombi kwa wawekezaji...

TAHARIRI: Mradi wa nyumba za bei nafuu utawafaa Wakenya

NA MHARIRI Serikali ya Jubilee ilipochukua hatamu za uongozi katika muhula wake wa pili mwaka jana, ilibuni mikakati minne ya maendeleo...

Breki kwa ada mpya ya nyumba kukatwa kwa mishahara

ABIUD ACHIENG na RICHARD MUNGUTI MPANGO wa Serikali kuwatoza wafanyakazi wote wa umma na walio katika sekta ya kibinafsi ada ya asilimia...

Ufadhili wa mabilioni kujenga nyumba za bei nafuu

Na BERNARDINE MUTANU Idara ya Ujenzi wa Nyumba imepokea Sh47.25 bilioni kukamilisha mpango wa kujenga nyumba za bei nafuu kwa wananchi...

Benki mashakani kuhusu uuzaji wa nyumba

Na RICHARD MUNGUTI MFANYABIASHARA ameishtaki benki kwa kuuza jumba lake kwa bei ya chini na kuomba mahakama kuu iamuru alipwe fidia ya...

‘Mchungaji’ achoma nyumba mkewe kumtomzalia watoto wa kiume

Na MAGATI OBEBO MWANAUME katika Kaunti ya Nyamira alichoma nyumba zake mbili kutokana na ghadhabu za kutozaliwa mtoto wa kiume na...

Korti yaruhusu serikali kujenga nyumba 7,000

Na SAM KIPLAGAT SERIKALI sasa iko huru kujenga nyumba 7,000 katika mtaa wa Shauri Moyo, Nairobi, baada ya Mahakama Kuu kufutilia mbali...

BWAWA LA MAUTI: Watu 44 waangaamia kwenye mkasa Nakuru

MAGDALENE WANJA na ERIC MATARA Kwa Muhtasari: Wakazi walisikia mlipuko mkubwa kabla ya maji kusomba nyumba zao pamoja na makazi  ...

Idara yaomba mabilioni kujenga nyumba 500,000 za bei nafuu

Na BERNARDINE MUTANU SERIKALI imeombwa kutoa Sh6 bilioni za ujenzi wa nyumba 500,000 za gharama ya chini. Idara ya Ujenzi imeomba...

OBARA: Mzaha huu wa viongozi hautamaliza majanga

[caption id="attachment_1299" align="aligncenter" width="800"] Moto katika mtaa wa Kijiji, Langata, Kaunti ya Nairobi wawaacha wakazi kwa...