BI TAIFA JANUARI 4, 2021

JILL AMONDI, 21, ni mwanamitindo wa Beauty Therapy kutoka Kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kucheza voliboli na kusakata densi. Picha/ Richard Maosi