Tag: Dondoo
- by adminleo
- September 3rd, 2019
Demu pabaya kujilipia mahari
Na Leah Makena MAGOGONI, THIKA Kidosho wa hapa alikaripiwa na wazee kwa kuchukua mkopo kusaidia mumewe kulipa mahari. Duru zasema...
- by adminleo
- August 31st, 2019
Aliyemfanya mume mtumwa ajuta
Na MWANDISHI WETU ZIMMERMAN, NAIROBI WANAWAKE wanaoishi kwenye ploti moja mtaani humu walimfokea mwenzao kwa kile walichodai kuwa na...
- by adminleo
- August 28th, 2019
Atimuliwa kuishi na mume kwa kakake
NA NICHOLAS CHERUIYOT BOITO, BOMET POLO wa hapa alimtimua dada yake na mumewe kwa kugeuza nyumba yake kuwa ya kufanyia mapenzi.?...
- by adminleo
- August 27th, 2019
Alipia kitanda alichovunja akimumunya uroda
NA NICHOLAS CHERUIYOT KERICHO MJINI ILIBIDI polo wa hapa kumnunulia rafiki yake kitanda kipya baada ya kuvunja chake akiramba asali...
- by adminleo
- August 25th, 2019
Polo arudisha watoto kwa wakwe zake
NA JOHN MUSYOKI MASII, MWALA KALAMENI wa hapa alishangaza wakazi wa eneo hili aliporudisha watoto wawili pacha kwa wakwe zake na...
- by adminleo
- August 24th, 2019
Mahari ya binti yazulia wazazi zogo
Na TOBBIE WEKESA BUMULA, BUNGOMA KIZAAZAA kilizuka katika boma moja eneo hili baada ya polo na mkewe kugombana kuhusu mahari ya binti...
- by adminleo
- August 21st, 2019
Mke wa kudharau mume aonywa vikali
Na LEAH MAKENA KATHERI, MERU MAMA wa hapa alipata aibu ya mwaka alipozimwa na wazee kwa kujaribu kujifanya kiongozi wa familia na...
- by adminleo
- August 17th, 2019
Polo ala rungu kumezea binamuye
Na LEAH MAKENA GATUNGA, THARAKA NITHI JAMAA wa hapa aliona kilichomnyonyoa kanga manyoya alipoingizwa kwenye gunia na kupokezwa...
- by adminleo
- August 16th, 2019
Muumini apokonya kanisa viti
Na JOHN MUSYOKI KAEWA, MASINGA KIOJA kilishuhudiwa katika kanisa moja la hapa muumini mmoja alipoamua kubeba viti alivyokuwa amenunulia...
- by adminleo
- August 8th, 2019
Atemwa na demu kwa kutomlipia karo
Na JOHN MUSYOKI MUKONDE, MAKUENI MWANADADA mmoja kutoka hapa aliwashangaza wenzake alipomtema mpenzi wake kwa kukataa kumlipia...
- by adminleo
- August 4th, 2019
Afuta harusi kugundua baba mkwe ni mganga
NA JOHN MUSYOKI KIRITIRI, EMBU JAMAA wa hapa alikatiza mpango wa kuoa kwa harusi alipogundua kwamba baba ya demu aliyekuwa akichumbia...
- by adminleo
- August 4th, 2019
Demu afurusha mpenzi kwa ulevi
NA MIRRIAM MUTUNGA NAARI, MERU MWANADADA wa hapa alipongezwa na majirani kwa kumkana mpenzi wake alipomtembelea akiwa...