• Nairobi
  • Last Updated May 13th, 2024 12:41 PM

‘Wanafunzi Wuhan hawatasafirishwa kuja nchini’

Na DIANA MUTHEU SERIKALI haijaweka mikakati yoyote kuwaondoa Wakenya kutoka China; taifa ambalo limeathirika pakubwa ma virusi vya...

Elachi aongoza sherehe ya kuapishwa kwa wanachama wapya wa bodi ya huduma za bunge la Nairobi

Na CHARLES WASONGA SPIKA wa Bunge la Kaunti ya Nairobi Beatrice Elachi mnamo Jumatano aliongoza hafla fupi ya kuapishwa kwa wanachama...

Vuta n’kuvute yaendelea City Hall

Na CHARLES WASONGA MZOZO katika bunge la kaunti ya Nairobi ulionekana kuendelea kutokota Alhamisi baada ya karani wa bunge hilo Jacob...

MUTUA: Hadhi yetu isidhalilishwe kimataifa na wanaopora

Na DOUGLAS MUTUA MOJAWAPO ya matusi maarufu zaidi dhidi ya raia wa kigeni nchini Rwanda humkanya mtu kutofanya mambo polepole kama...

United Bank for Africa yafanya usafi jijini Nairobi

Na GEOFFREY ANENE HUKU jiji la Nairobi likikabiliwa na changamoto jinsi ya kukabiliana na utupaji wa taka, benki ya United Bank for...

Nairobi yatajwa jiji bora la mikutano ya kibiashara Afrika

NA LEONARD ONYANGO JIJI la Nairobi kwa mara nyingine limeibuka bora zaidi kwa safari za kibiashara barani Afrika katika Tuzo za Safari...

Wakazi wa Nairobi walivyoteswa na Sonko 2018

Na RICHARD MUNGUTI HUKU mwaka wa 2019 ukianza, wakazi wa jiji la Nairobi na wananchi kwa jumla hawatasahau siku walipozuiliwa kushushwa...

Wakazi wa Nairobi kutozwa ushuru zaidi

Na BERNARDINE MUTANU WAKAZI wa Kaunti ya Nairobi watalipa ushuru zaidi kutokana na kuanzishwa kwa aina mpya za madaraja ya ushuru na...

JAMVI: Mkono fiche wa mabilionea unaomtetemesha Sonko jijini

Na WYCLIFFE MUIA KWA mara nyingine, Gavana wa Nairobi, Mike Sonko amemkabili vikali Katibu katika Wizara ya Usalama wa Ndani, Karanja...

Tamasha zang’oa nanga kwa shairi la kusisimua

Na ANTHONY NJAGI AWAMU ya 59 ya michezo ya kuigiza ya kitaifa baina ya shule na vyuo yalianza Jumanne katika shule ya wavulana ya...

Maji taka katikati ya jiji? Sonko amefeli, asema Atwoli

[caption id="attachment_4076" align="aligncenter" width="800"] Bw Francis Atwoli katika mahojiano awali. Picha/ Maktaba[/caption] Na...

Mabwanyenye wachache wanamiliki 80% ya utajiri Nairobi na Mombasa – Utafiti

Na BERNARDINE MUTANU WAKAZI wachache wa Nairobi na Mombasa ndio matajiri zaidi nchini Kenya kulingana na utafiti wa hivi punde. Utafiti...