• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 10:50 AM

TAMTHILIA: Uongozi mbaya katika Kigogo – 3

JUMA hili tutaendelea kuangalia maudhui ya uongozi mbaya katika Tamthilia ya Kigogo. Viongozi kupanga njama ili kuangamiza wapinzani...

Ploti ya Onyesho la Kwanza tendo la tatu katika tamthilia ‘Kigogo’

Na SIMON NGIGE JUMA lililopita tulianza kuangalia ploti katika onyesho la kwanza tendo la tatu. Majoka anahema. (mtindo-taswira)...