• Nairobi
  • Last Updated May 24th, 2024 2:08 PM
AMINI USIAMINI: Fahamu kumhusu mjusi kafiri anayeitwa satanic leaf-tailed gecko

AMINI USIAMINI: Fahamu kumhusu mjusi kafiri anayeitwa satanic leaf-tailed gecko

NA MWORIA MUCHINA

MJUSI kafiri anayeitwa satanic leaf-tailed gecko, anafanana na jani lililokauka.

Hii humsaidia kujificha ili asionekane na maadui.

Mjusi huyo pia hutumia kufanana na matawi ya msituni kuwavizia na kuwavamia viumbe na wadudu ambao huwala kama kitoweo.

  • Tags

You can share this post!

Patrick ‘Jungle’ Wainaina amchanua Ruto namna ya...

Kocha Andrea Pirlo apokezwa mikoba ya Sampdoria kwa miaka...

T L