• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 4:55 PM
AMINI USIAMINI: Kasuku kwa jina Kea hula kondoo

AMINI USIAMINI: Kasuku kwa jina Kea hula kondoo

NA MWORIA MUCHINA

KASUKU kwa jina Kea, wanapatikana kwa wingi nchini New Zealand.

Kasuku hawa wa rangi ya kijani zamani walipenda kula matunda na mbegu lakini wakati wakazi wa maeneo wanakopatikana kwa wingi walianza kufuga kondoo, ndege hao walibadilisha lishe na kuanza kuwavamia kondoo hao kwa midomo yao mikali na kula mafuta kwenye miili ya kondoo hao.

Kasuku hao hutoa sauti inayofanana na ile ya paka, na wamekuwa tishio kubwa kwa ufugaji wa kondoo nchini humo.

  • Tags

You can share this post!

Mitandao iwe ya kupeana habari na sio kushambuliana,...

Wabunge waidhinisha uteuzi wa Renson Ingonga Mulele kuwa...

T L