• Nairobi
  • Last Updated May 12th, 2024 5:17 PM
Ratiba ya Kenya Simbas ya Kombe la Afrika 2021 ya kuingia Kombe la Dunia 2023 yatangazwa

Ratiba ya Kenya Simbas ya Kombe la Afrika 2021 ya kuingia Kombe la Dunia 2023 yatangazwa

Na GEOFFREY ANENE

SHIRIKISHO la Raga Duniani limetangaza ratiba ya mechi za Kombe la Bara Afrika zitakazotumiwa kama mashindano ya kufuzu kushiriki Kombe la Dunia mwaka 2023.

Timu ya taifa ya Kenya ya raga ya wachezaji 15 kila upande maarufu kama Simbas itaanza kampeni yake dhidi ya Senegal mnamo Julai 3 jijini Nairobi. Vijana wa kocha Paul Odera kisha watakabiliana na Zambia ugenini.

Odera alitaja kikosi cha kuanza mazoezi cha wachezaji 102 majuzi ambacho alisema kitapunguzwa hadi 50 kabla ya orodha ya mwisho ya wachezaji 30 kutangaza wataowakilisha Kenya kwenye Kombe la Afrika. Kenya haijawahi kuingia Kombe la Dunia la raga ya wachezaji 15 kila upande kwa hivyo itakuwa makini kuwa na mwanzo mzuri.

Uganda, Algeria, Tunisia, Zimbabwe, Ghana, Namibia, Madagascar na Ivory Coast ni timu nyingine zinazowania taji la Afrika la mwaka huu.

Kikosi cha wa wachezaji 102 wa Kenya Simbas:

Ian Njenga(Nondescripts RFC), Andrew Siminyu (University of Johannesburg, Afrika Kusini), Elisha Koronya (Kenya Harlequin), Collins Obure (Blak Blad),Nesta Okotch (Impala Saracens), Joseph Odero (Kabras Sugar), Victor Emmanuel (Kabras Sugar), Emmanuel Otieno (Impala Saracens), Toby Francombe (hana klabu), Boniface Ochieng (Kenya Harlequin), Emmanuel Mulindo (Menengai Oilers), Stanley Isogol (Homeboyz), Eugene Sifuna (Kabras Sugar), Brian Waraba (Kenya Harlequin), Brett Khamadi (Kabras Sugar), Griffin Musila (KCB), Ian Masheti (Impala Saracens), Melvin Thairu (Kenya Harlequin), Ephraim Oduor (Kabras Sugar), Miles Rotuk Rahedi (Kutztown University, Amerika), Patrick Ouko (KCB), Wilheight Mususi (Kenya Harlequin), Malcolm Onsando (Dinamo Bucharesti, Romania), Thomas Okeyo (Top Fry Nakuru), Hibrahim Ayoo (Menengai Oilers), Tony Owuor (Mwamba), Davis Chenge (KCB), Brian Juma (Kabras Sugar), Emmanuel Mavala (Kenya Harlequin), Kevin Nyongesa (Kabras Sugar), Frank Aduda (Impala Saracens), Emmanuel Silungi (Homeboyz), Wallace Otieno (Homeboyz), Joshua Chisanga (Kenya Harlequin), George Nyambua (Kabras Sugar), Samuel Onsongo (Menengai Oilers), Bethwel Anami (Strathmore Leos), George Omolla (Mwamba), Herman Humwa (Kenya Harlequin), James McGreevy (Kenya Harlequin/Glasgow University), Monate Akuei (Tigers, Amerika), Cameron Coulson (Richmond, Uingereza), Brian Amaitsa (Nondescripts), Fidel Oloo (Nondescripts), Martin Owilla (KCB), Ernest Obatt (Blakblad), Andrew Odhiambo (Western Bulls), Clinton Odhiambo (Menengai Oilers), Brayden Barrat (Durham University London), Dan Sikuta (Kabras Sugar), Elkeans Musonye (Impala Saracens), Steve Anthony Otieno (Impala Saracens), Darrensheldon Kahi (Blak Blad), Harold Anduvati (Menengai Oilers), Steve Sikuta (Mwamba), Mark Mutuku (Notre Dame Athletic, Amerika), Samson Onsomu (Impala Saracens), Samuel Asati (KCB), Barry Robinson (Kabras Sugar), Brian Tanga (Kabras Sugar), Brian Wahinya (Blak Blad), Anthony Omondi (Mwamba), Charles Kuka (Mwamba), Owain Ashley Lloyd (Cardiff University, Wales), Abdultwalib Wesonga (Menengai Oilers), Stephen Osumba (KCB), Jone Kubu (Kabras Sugar), Dominic Coulson (Exeter University, Uingereza), Timothy Okwemba (Menengai Oilers), Billy Omondi (Impala Saracens), Beldad Ogeta (Menengai Oilers), Archadius Khwesa (Blak Blad), Mike Okello (Mwamba), Derrick Ashiundu (Kabras Sugar), John Okoth (Top Fry Nakuru), Charles Tendwa (SC Pirates), Max Omondi (Catholic Monks), Derrick Obukwa (Blak Blad), Johnstone Muhanji (Kabras Sugar), Leroy Kamau (Kenya Harlequin), Vincent Onyala (KCB), Austin Sikutwa (Menengai Oilers), Eliud Mulakoli (USIU), Zeden Marrow (Homeboyz), Bob Muhati (Homeboyz), Joel Inzuga (Mwamba), Peter Kilonzo (KCB), Valerian Tendwa (Kabras Sugar), Geoffrey Okwach (KCB), Michael Kimwele (KCB), Jacob Ojee (KCB), Bryceson Adaka (Kabras Sugar), Leonard Mugaisi (Homeboyz), Darwin Mukidza (KCB), Jeff Mutuku (Notre Dame Athletic, Amerika), Anthony Odhiambo (Impala Saracens), Isaac Njoroge (KCB), Andrew Matoka (Strathmore Leos), Samuel Mwaura (Top Fry Nakuru), Ronnie Omondi (Mwamba), Anderson Oduor (Impala Saracens), Brian Oyando (Kenya Harlequin).

  • Tags

You can share this post!

Simba SC yaelekea Afrika Kusini kurarua Kaizer Chiefs soka...

KENYA HIGH JUU