WhatsApp kuanza kutekeleza masharti mapya Jumamosi

Na SAMMY WAWERU MTANDAO  wa kijamii wa WhatsApp sasa umetoa tangazo la kuongeza masharti zaidi ili kuboresha mtandao wake. Sheria na...

FAUSTINE NGILA: Kukwamilia WhatsApp ni ithibati Afrika haitambui usiri wa data

Na FAUSTINE NGILA JE, umehama kutoka mtandao wa kijamii wa WhatsApp? Iwapo ungali kwenye jukwaa hilo linalomilikiwa na Facebook, basi...

Wakenya hutumia WhatsApp, Facebook sana usiku – Utafiti

Na PETER MBURU WAKENYA wengi hutumia kati ya saa moja na tatu kila siku katika mitandao ya kijamii, kulingana na utafiti ambao...

SHAMBULIO: Gaidi alikuwa katika WhatsApp ya ‘Nyumba Kumi’ Ruaka

Na STELLA CHERONO MAJIRANI wa mmoja wa wagaidi walioaminika kuhusika katika shambulizi la DusitD2 walimtaja kama jamaa aliyekuwa anakaa...

Serikali sasa kufuatilia mawasiliano ya WhatsApp

Na PATRICK ALUSHULA Serikali inatathmini kudhibiti matumizi ya WhatsApp na Skype katika hatua ambayo inaweza kulazimisha wamiliki wa...

Mitandao ya kijamii itasaidia wanyonge kupata haki lakini kwa kufuata kanuni hizi

NA FAUSTINE NGILA MTINDO ambapo asasi zinazotegemewa kutenda haki katika visa mbalimbali vya uhalifu hutegemea mitandao ya kijamii,...

Watumizi wa mitandao ya kijamii Uganda kutozwa ushuru wa Sh100 kila siku

DAILY MONITOR na CHARLES WASONGA WATUMIZI mitandao  ya kijamii nchini Uganda sasa watatozwa ushuru mpya ili kuzuia kile ambacho Rais...