BI TAIFA JANUARI 6, 2021

EUNICE Wambui, mfanyabiashara mjini Nakuru ndiye anayetupambia ukurasa huu hii leo. Uraibu wake ni kusafiri, kusikiliza muziki na kushirikisha miradi. Picha/ John Njoroge