• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 5:50 AM

KICD kuwanoa walimu kidijitali

NA FAUSTINE NGILA TAASISI ya Kitaifa ya Kuandaa Mitaala (KICD) imeanzisha mpango wa kuwanoa walimu kidijitali kama mojawapo ya mbinu za...

Maraga ahimiza vituo vya polisi vikumbatie mfumo wa kidijitali

NA CECIL ODONGO JAJI Mkuu David Maraga Jumatatu aliipa changamoto Tume ya Huduma za Polisi(NPSC), kufanikisha utaratibu wa matumizi ya...

Mfumo wa kidijitali kuwafaa zaidi wakodishaji na wamiliki wa nyumba

Na BERNARDINE MUTANU WAMILIKI wa nyumba na wapangaji wamepata njia rahisi ya kukusanya na kulipa ada ya nyumba. Hii ni baada ya jukwaa la...

NGILA: Ithibati tele uhaba wa chakula utasuluhishwa na teknolojia

Na FAUSTINE NGILA HATUA ya hivi majuzi ya kampuni ya Safaricom kusajili wakulima 150,000 wa Kaunti ya Makueni katika programu ya simu ya...

#IfikieWazazi: Kizazi hiki cha dijitali kitaponzwa na ngono

Na GEOFFREY ANENE WAKENYA wameamua kuwaanika matineja wanaochapisha picha wakiwa nusu uchi na zingine za ngono  katika mitandao ya...

France 24 yaungana na Signet kufaidi wenye runinga za dijitali

Na CECIL ODONGO SHIRIKA la Habari la Kimataifa la France 24 limetia saini makubaliano na mawimbi ya Signet ili kupeperusha matangazo...