• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 5:10 PM

Buda amwachia mke uwanja agawe uroda anavyotaka, bila bughudha

Na TOBBIE WEKESA NETIMA, BUNGOMA Kalameni mmoja kutoka hapa alitoroka boma lake akidai alikuwa akiwindwa na polo aliyeshuku kuwa...

Mke wa mwalimu aliyeuawa kukaa seli

Na NDUNGU GACHANE MKE wa mwalimu Mkuu wa Shule ya Upili ambaye mwili wake ulipatikana Jumapili ukiwa umewekwa katika buti ya gari...

SHANGAZI: Nataka kumsahau mpenzi lakini nalemewa na hisia

Na SHANGAZI SIZARINA Kwako Shangazi. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22. Sijaolewa lakini nilizaa mtoto na mwanamume tuliyekuwa...

Mwanamume kumlipa mkewe wa zamani Sh127,000 kila mwezi

Na RICHARD MUNGUTI JUHUDI za mwanaume za kupunguziwa mzigo wa kumtunza na kumpa mkewe aliyemtaliki kitita cha Sh127,000 kila mwezi maisha...

Pasta amfurusha mke kwa kutisha kusambaratisha kanisa

Na CORNELIUS MUTISYA NZAIKONI, MACHAKOS PASTA wa kanisa moja eneo hili alimfurusha mkewe akidai alikuwa amechoshwa na tabia yake ya...

Atwangwa na mkewe kama mburukenge kwa kutomnunulia nyama

Na BENSON MATHEKA GITHUNGURI, KIAMBU WAKAZI wa hapa, waliachwa vinywawazi baada ya jombi kupokonywa mboga na kutandikwa na mkewe kama...

Ajuta kujaribu kumtia mumewe kiganjani

Na LEAH MAKENA GITEMBENE, MERU Mama wa hapa alipatiwa talaka  kwa kuweka akiba kisiri ili ajenge nyumba ya kifahari. Mama alikuwa na...

FUNGUKA: Nachuuza mke wangu nipate hela

  Na PAULINE ONGAJI Japo mwanzoni nilionekana kukerwa na tabia hii, mke wangu alinishawishi akisema kwamba ingekuwa fursa murwa ya...

Taabani kwa kugeuza kondoo wa babake mke na ‘kurina asali’ mara saba

Na TITUS OMINDE MWANAMUME wa umri wa miaka 30 alifikishwa katika mahakama moja mjini Eldoret kujibu mashtaka ya kushiriki ngono na...

Tetesi kasisi alitumia ndumba kupora mke

Na CORNELIUS MUTISYA NZAIKONI, MACHAKOS Pasta mmoja wa eneo hili ameingiwa na kibaridi baada ya tetesi kutanda mtaani kuwa alitumia...

Ajitia kitanzi akilalamikia kuchoshwa na mkewe

BARACK ODUOR na CHARLES WASONGA MWANAMUME mmoja katika kaunti ya Homa Bay Alhamisi alijiua katika mti wa maembe kwa madai kuwa...

Buda afumania mkewe peupe akigawa asali sebuleni

Na BENSON MATHEKA EMBAKASI, NAIROBI KALAMENI wa hapa hakuamini macho yake alipompata mkewe akigawa asali kwenye kochi katika sebule...