• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 11:33 PM

JOSEPH MWANGI: Chipukizi aliyezindua mtindo mpya wa ‘Dabonge’

Na JOHN KIMWERE NI mwimbaji na produsa anayeibukia katika ulimwengu wa muziki wa burudani. Anasema anapania kujituma kwa udi na uvumba...