• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 8:55 PM

WANDERI: Kenya itahatarisha mustakabali wake ikiendelea kukopa

Na WANDERI KAMAU MATAMSHI ya mbunge Moses Kuria (Gatundu Kusini) kwamba hali ya kiuchumi nchini imedorora kuliko inavyoelezwa na...

SENSA: Kila Mkenya anadaiwa Sh124,000

Na LEONARD ONYANGO MATOKEO ya Sensa yaliyotangazwa Jumatatu yamethibitisha kuwa kila Mkenya anadaiwa kiasi cha Sh124,000 ili kulipa...

Wazee Rift Valley wataka ‘deni’ lilipwe

Na OSCAR KAKAI na CHARLES WASONGA BAADHI ya wazee wa jamii ya Kalenjin, hatimaye wamewataka wenzao wa Agikuyu kuheshimu ahadi waliyotoa...

Benki ya Dunia yaipa Kenya mkopo wa Sh75b, deni sasa lakaribia Sh6 trilioni

PAUL WAFULA na CHARLES WASONGA HATIMAYE Benki ya Dunia (WB) imeipa Kenya mkopo wa Sh75 bilioni na kuongezea wananchi mzigo wa madeni...

Kenya sasa yaomba Benki ya Dunia Sh75 bilioni

Na BERNARDINE MUTANU  Kenya imeomba mkopo wa mabilioni ya pesa kutoka kwa Benki ya Dunia ili kufadhili bajeti yake, ikisema kuna miradi...

Zaidi ya nusu ya mapato ya nchi yalitumiwa kulipa madeni – Takwimu

Na BERNARDINE MUTANU SERIKALI ilitumia zaidi ya Sh600 bilioni kulipa madeni katika muda wa miezi 10 kufikia Aprili 2019. Kwa muda...

Deni lasimamisha harusi ghafla

Na MWANDISHI WETU SOSIET, KERICHO ? Siku iliyotarajiwa kuwa ya furaha tele iligeuka kuwa yenye huzuni nyingi mzee alipositisha harusi...

Serikali yaelekeza macho Amerika kusaka wafadhili

Na VALENTINE OBARA MASUALA kuhusu ustawi wa kiuchumi, uwekezaji na vita dhidi ya ufisadi yanatazamiwa kupewa kipaumbele maafisa wakuu wa...

DENI: Kenya Power, KQ, KPA, KenGen, KBC na KR hatarini kupigwa mnada

Na PETER MBURU HUKU serikali ikiendelea kuomba mikopo zaidi nchini China, mashirika yake manane makuuu yako katika hatari ya kupigwa...

Raila kuandamana na Uhuru China kukopa mabilioni ya SGR

Na VICTOR RABALLA KIONGOZI wa chama cha ODM Raila Odinga Jumapili alitangaza kuwa, ataandamana na Rais Uhuru Kenyatta kuelekea China,...

Madeni yazidi kuisakama serikali

Na BERNARDINE MUTANU MDHIBITI wa bajeti ameonya kuhusiana na kiwango kikubwa cha deni la serikali kutokana na kuwa zaidi ya nusu ya...

Serikali sasa yakiri deni la Sh5 trilioni ni zito zaidi kwa Kenya kulipa

CHARLES MWANIKI na CHARLES WASONGA HATIMAYE Serikali imeelezea hofu kuwa huenda Kenya ikashindwa kulipa madeni yake ya kigeni, ikisema...