• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 10:15 PM
Kimemia pabaya washirika wakizidi kumkosoa

Kimemia pabaya washirika wakizidi kumkosoa

Na WAIKWA MAINA

GAVANA wa Nyandarua Francis Kimemia, anakabiliwa na wakati mgumu akijiandaa kutetea kiti chake kwenye uchaguzi mkuu ujao huku washirika wake wakijitenga naye.

Bw Kimemia amekuwa akikosolewa vikali na Mwakilishi wa Wanawake, Bi Faith Gitau na Waziri wa Maji, Bi Sicily Kariuki anayemezea mate kiti cha ugavana Kaunti ya Nyandarua.

You can share this post!

Kiraitu aambia watu wa Gema wasahau urais

Polisi waimarisha usalama mitaani

T L