• Nairobi
  • Last Updated May 9th, 2024 10:18 AM
KCSE 2023 yaanza usalama ukiimarishwa vituo vya kufanya mitihani  

KCSE 2023 yaanza usalama ukiimarishwa vituo vya kufanya mitihani  

NA SAMMY WAWERU

MITIHANI ya Kitaifa ya Kidato cha Nne (KCSE 2023) imeanza kote nchini, Jumatatu, Novemba 6 usalama ukiimarishwa ndani na nje ya vituo vya kuifanyia.

Katibu katika Wizara ya Elimu, Dkt Bellio Kipsang aliongoza Kaunti Ndogo ya Westlands, Nairobi kuzindua usambazaji wa karatasi za mitihani.

Kalenda ya masomo 2023, imerejea kama ilivyokuwa miaka ya awali hasa baada ya janga la Covid-23 kuisambaratisha.

Zifuatazo ni picha za uzinduzi wa usambazaji mitihani maeneo tofauti nchini.

Dkt Bellio Kipsang, Katibu Wizara ya Elimu akihutubia wanahabari Westlands, Nairobi wakati wa uzinduzi wa karatasi za mitihani ya KCSE 2023. PICHA|DENNIS ONSONGO
Usambazaji wa KCSE 2023 Kisii. PICHA|WYCLIFFE NYABERI
Mameneja wa vituo vya KCSE 2023 wakichukua mitihani eneo la Kerugoya, Kirinyaga. PICHA|GEORGE MUNENE
Mameneja wa vituo vya KCSE 2023 wakichukua mitihani katika Kaunti ya Baringo. PICHA|FLORAH KOECH
CEO wa TSC Nancy Macharia akisambaza KCSE 2023 Mombasa. PICHA|KEVIN ODIT
Mameneja wa vituo vya KCSE 2023 wakichukua mitihani katika Kaunti ya Nyeri. PICHA|JOSEPH KANYI
Maafisa wa polisi Homa Bay tayari kudumisha usalama KCSE 2023 ikianza. PICHA|GEORGE ODIWUOR

 

 

  • Tags

You can share this post!

Mbinu ya kijamii inayotumika Pokot Magharibi kuzima...

Ndindi Nyoro aongoza orodha ya wabunge wachapakazi  

T L