• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 9:35 PM

Kitabu chenye mada zinazohusu ICC na changamoto ya uhalifu barani Afrika chazinduliwa

Na LAWRENCE ONGARO KITABU kipya chenye mada zinazohusu Mahakama ya Uhalifu wa Kimataifa (ICC) na ambacho vilevile kinamulika changamoto...

MWANAMKE MWELEDI: Bidii imemweka upeoni

Na KENYA YEARBOOK NI mmojawapo wa majaji wenye tajriba pevu zaidi nchini Kenya. Joyce Aluoch, ni jaji wa kwanza kutoka Kenya kuhudumu...

Wandani wa Ruto wakashifu mahasimu kutoa ushahidi mpya kuhusu ICC

GRACE GITAU Na VALENTINE OBARA WANDANI wa Naibu Rais William Ruto, wamedai mahasimu wake ndio wanapeana ushahidi mpya kwa Mahakama ya...

Wasomi nchini kutathmini kama ICC ni muhimu kwa Kenya

NA LAWRENCE ONGARO WASOMI wa kisheria nchini wanapanga kuchapisha kitabu kitakachochanganua kwa undani kuhusu kama Mahakama ya Kimataifa...

ICC yamtupa Bemba jela mwaka mmoja

MASHIRIKA na PETER MBURU HAGUE, UHOLANZI MAHAKAMA ya Kimataifa kuhusu Kesi za Jinai Jumatatu ilimfunga kwa mwaka mmoja gerezani aliyekuwa...

ICC yafikisha miaka 20 huku ikikosolewa

Na VALENTINE OBARA MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) Jumatatu itaanza maadhimisho ya miaka 20 tangu ilipobuniwa Julai 17, 1998 huku...

Majaji wapya wateuliwa ICC kusikiza kesi za Uhuru na Ruto zikifufuliwa

Na VALENTINE OBARA MAHAKAMA ya Kimataifa kuhusu Uhalifu (ICC) imechagua majaji wapya kusimamia kesi za Rais Uhuru Kenyatta na Naibu...

Majaji waliosikiliza kesi ya Ruto ICC wapandishwa vyeo

Na VALENTINE OBARA MAJAJI wawili waliosikiliza kesi dhidi ya Naibu Rais William Ruto, katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC)...

Wataalamu wa ICC kukutana Nairobi kuhusu utafutaji haki

[caption id="attachment_1670" align="aligncenter" width="800"] Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw António Guterres. Picha/...