• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 10:48 AM

Serikali haikupewa agizo na korti yoyote, Miguna hakufurushwa – Matiang’i

JOHN NGIRACHU na ELVIS ONDIEKI WAZIRI wa Usalama Dkt Fred Matiang'i Jumanne ametetea vikali serikali kuhusu jinsi ilishughulikia kesi ya...

Kiburi cha Matiang’i, Boinnet na Kihalangwa kimeiletea Kenya aibu kuu – Jaji Odunga

Na RICHARD MUNGUTI KINYUME  na matarajio ya kila mmoja Jaji George Odunga Alhamisi alikataa kuwatimua kazini Waziri Fred Matiang’I ,...

Kesi ya Miguna: Matiang’i, Boinnet na Kihalangwa kujua hatima yao Alhamisi

Na RICHARD MUNGUTI Kwa ufupi: Jaji George Odunga awapata na hatia Mabw Matiang’i, Kihalangwa na Boinnet ya kudharau na kukaidi...

Matiang’i, Kihalangwa na Boinnet waitwa kortini kuhusu Miguna

Na MAUREEN KAKAH Mahakama Kuu sasa imewaagiza maafisa watatu wa ngazi ya juu serikalini kufika kortini  Jumatano alasiri kuhusu kesi ya...

Huenda Boinnet na Kihalangwa wakatupwa ndani

Na RICHARD MUNGUTI INSPEKTA Jenerali wa Polisi  Joseph Boinnet na Mkurugenzi wa Idara ya Uhamiaji Gordon Kihalangwa wanaweza kusukumwa...