• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 12:48 PM

KINA CHA FIKIRA: Sawa na Kiingereza, kuna Kiswahili na ‘Viswahili’ ainati

Na KEN WALIBORA NI rahisi sana kudhani kwamba ipo lugha moja hivi iitwayo Kiingereza duniani. Ni hayati Mwalimu Julius Nyerere ndiye...

KINA CHA FIKIRA: Tafsiri za kizuzu adui mkubwa wa lugha ya Kiswahili

Na KEN WALIBORA WAKENYA ni wabunifu sana. Hunishangaza kwa ubunifu wao uliopitiliza. Hivi punde tu nimemsikia mama mmoja akiniambia,...

KINA CHA FIKIRA: Hadhari mno ahadi za serikali kuhusu Baraza la Kiswahili

Na KEN WALIBORA WATU wenye matumaini wanapenda kutumaini pawepo au pasiwepo msingi wa kutumaini. Hawataki kuitwa wendaguu, yaani watu...

KINA CHA FIKIRA: Tuwanie kuunda Baraza la Kiswahili wala si la Lugha

Na KEN WALIBORA WIKI iliyopita Baraza la Kiswahili la Taifa (Bakita)—Tanzania, lilinialika kushiriki tamasha za Kiswahili na Utamaduni...

KINA CHA FIKIRA: Kinaya cha waandishi wa Kenya na Tanzania kuongoza katika kukivyoga Kiswahili

Na KEN WALIBORA MNAMO Mei 21, 2019, nilimwandikia mkubwa mmoja wa kituo cha runinga ujumbe huu: “Watu wako wanaandika kero la. Je ni...

KINA CHA FIKIRA: Wanamuziki wa Kenya wawaige wenzao wa TZ wenye weledi mkubwa wa kukisarifu Kiswahili

Na KEN WALIBORA WASANII wa Kiswahili wanaoimba muziki wamekuwa wakitia fora sana katika tasnia ya muziki. Si aghalabu kukutana na...

KINA CHA FIKIRA: Japo safari bado ndefu, ni hatua nzuri kwa SADC kupaisha Kiswahili Afrika

Na KEN WALIBORA MAPEMA Machi 2019 nilialikwa kutoa mada elekezi katika kongomano la wanahabari wanaotumia Kiswahili. Mwenyeji wangu...

KINA CHA FIKIRA: Wakenya wamezoea kuhalalisha makosa ya lugha katika usemaji wao wa Kiswahili

Na KEN WALIBORA KWENYE Kaunti ya Trans-Nzoia (zamani wilaya) nilikolelewa nilikuwa nasikia maneno fulani niliyodhani ni ya Kiswahili...

KINA CHA FIKIRA: Umilisi wa Kiswahili u katika kuyamudu mambo ya msingi

Na KEN WALIBORA HATUNA budi kurudi kwa mambo ya msingi. Mambo ya msingi yakitupita hata tujaribu vipi kujishaua hatuwezi kuwa weledi...

KINA CHA FIKIRA: Walimu wa Kiswahili daima tufanye utafiti tuepuke kujiumbua

Na KEN WALIBORA KATIKA kikundi kimoja cha mtandaoni mtu ameuliza, “Neno Bomet lina silabi ngapi?” Hili karibu lifanane na lile swali...

KINA CHA FIKIRA: ‘Mzungumzishi’ halina mashiko kurejelea spika

Na KEN WALIBORA NILIKUTANA na vitabu vya mwandishi Zacharia Zani enzi ya masomo yangu ya sekondari. Mfululizo wa vitabu vyake ulitawala...

KINA CHA FIKIRA: Viongozi wa Afrika Mashariki ni wasaliti wa Kiswahili barani

Na KEN WALIBORA MUUNGANO wa Afrika umepanga mikakati kabambe ya kukipa Kiswahili kipaumbele kama lugha ya mawasiliano mapana barani....