• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 6:39 PM

KINA CHA FIKIRA: Shime Wana-Afrika Mashariki tujimilikishe Kiswahili, lugha ino azizi

Na KEN WALIBORA KISWAHILI kinaelekea kupata utanuzi mkubwa Uganda. Nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wakisikitishwa sana na ati...

KINA CHA FIKIRA: Tufurahikie hatua ya wenzetu kupigia upatu Kiswahili ughaibuni

Na KEN WALIBORA WELEDI wa Kiswahili mara nyingi hupata milango ya rehema pahali wasipopatarajia. Watangazaji wa Kiswahili mathalan...

KINA CHA FIKIRA: Baraza la Kiswahili nchini litatuchokonoa kuwaenzi wafia lugha

Na KEN WALIBORA WIKI hii namkumbuka mbunge wa zamani wa Runyenjes, Njeru Kathangu. Kwa kizazi kipya cha vijana nchini Kenya huenda...

KINA CHA FIKIRA: Taaluma ya Kiswahili yahitaji asasi madhubuti kuboresha utumizi wake

Na KEN WALIBORA PROF Kimani Njogu amewasha kiberiti cha moto ambao ulitishia kuteketeza msitu mkubwa alipouliza hivi karibuni kwa nini...

KINA CHA FIKIRA: Inawezekanaje mwalimu wa Kiswahili kuchukia lugha hii ilhali anaifundisha?

Na KEN WALIBORA SIKU nyingi zimepita bila ya mimi kuzungumza redioni. Sababu kuu ni kwamba baba yangu hakuwahi kumiliki kituo cha...

KINA CHA FIKIRA: Raha iliyoje Kiswahili kufundishwa rasmi katika shule za msingi Uganda

Na KEN WALIBORA NIMESOMA habari njema kuhusu maendeleo ya Kiswahili Uganda. Habari njema kwa sababu maendeleo ya Kiswahili Uganda...

KINA CHA FIKIRA: Iweje wageni wanakifurahia Kiswahili huku wasemaji asilia wakikibeza?

Na KEN WALIBORA WIKI hii ninaandika makala hii nikiwa Addis Ababa, jiji kuu la Ethiopia. Nilipokuwa mdogo nilimsikia mtangazaji...

KINA CHA FIKIRA: Twaweza kukimakinikia Kiswahili na kukisarifu ipasavyo madhali nia ipo

Na KEN WALIBORA BAADHI ya wasemaji wa Kiswahili hawana habari kuhusu tofauti iliyopo kati ya tunda la limao na ndimu. Ukienda sokoni...

KINA CHA FIKIRA: Chipukizi wenye raghba ya kuandika wajihimu kuyajua mengi kuhusu fani ya uandishi

Na KEN WALIBORA BAADA ya kutoka kituo cha habari cha Nation Centre katika barabara ya Kimathi jijini Nairobi miaka miwili iliyopita,...

KINA CHA FIKIRA: Watahiniwa walenge kuvuna walichopanda, maisha hayaishii hapo

Na KEN WALIBORA WANAFUNZI wa darasa la nane nchini Kenya wamejibwaga kwenye ulingo ili kufanya mtihani wa taifa wa KCPE nchini...

KINA CHA FIKIRA: Uhasama na mihemko ya kitaifa na kizalendo inavyotishia mustakabali wa lugha ya Kiswahili

Na KEN WALIBORA NOAH Webster alibaini kwamba si tu Kiingereza cha Marekani kilikuwa tofauti na cha Uingereza kwa msamiati, tahajia na...

KINA CHA FIKIRA: UG kuwa mwenyeji wa kongamano la CHAUKIDU Disemba

Na KEN WALIBORA MNAMO Jumatatu wiki hii nilimwambia Rais wa Chama cha Ukuzaji Kiswahili Duniani, (CHAUKIDU), Profesa Leonard Muaka...