• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 10:08 PM

Miradi ya kisasa yatia uchungu ‘Lamu tamu’

Na KALUME KAZUNGU KWA WENGI, MSEMO wa ‘mgeni njoo mwenyeji apone’ huonekana kuwa wa maana kwa vile mgeni hutarajiwa atawasili kwa...

Mwamko mpya wanawake Pwani wakilenga ugavana

Na PHILIP MUYANGA KUONGEZEKA kwa idadi ya wanawake katika kinyang’anyiro cha ugavana eneo la Pwani kunaonyesha mabadiliko makubwa ya...

Seneta taabani tena kwa dai la kujeruhi mwanamke

KALUME KAZUNGU na JAMES MURIMI SENETA wa Kaunti ya Lamu, Bw Anwar Loitiptip, amejipata taabani tena baada ya kudaiwa kumpiga risasi...

Serikali yatahadharisha wafugaji kuhamia kaunti jirani bila muafaka

Na KALUME KAZUNGU WAKUU wa usalama Kaunti ya Lamu wanahofia ongezeko la idadi ya mifugo inayohamishiwa eneo hilo kutoka kaunti jirani za...

Serikali kutafutia bandari biashara

Na ANTHONY KITIMO SERIKALI imepanga kutuma wajumbe kutafutia biashara bandari ya Lamu katika mataifa jirani kuanzia wiki hii. Hii ni...

Watatu wahofiwa kufariki katika ajali ya boti Lamu

NA KALUME KAZUNGU WAVUVI watatu hawajulikani walipo baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kusombwa na mawimbi makali baharini eneo la...

Zogo lakumba fidia ya wavuvi Lamu

Na KALUME KAZUNGU UTATA umeibuka kuhusu ulipaji fidia kwa wavuvi walioathirika na ujenzi wa Bandari ya Lamu, baada ya kuibuka kuwa...

Desturi ya aina yake kisiwani Lamu inayozipatia mashua ‘uhai’ baharini

Na KALUME KAZUNGU MAENEO mengi ya Kaunti ya Lamu ni visiwa ambavyo vimezingirwa na Bahari Hindi. Hivyo, usafiri huwa kwa vyombo vya...

Wakazi wa Lamu walia makali ya njaa, kiu

Na KALUME KAZUNGU ZAIDI ya wakazi 2,000 wa vijiji vya Pandanguo, Jima na Madina katika Kaunti ya Lamu wanakabiliwa na baa la njaa na...

Utalii, uwekezaji kuimarika Pwani – Wadau

Na KNA KUZINDULIWA kwa Bandari ya Lamu pamoja na ujenzi wa barabara za kisasa kutaimarisha sekta ya utalii katika ukanda wa...

Changamoto za kiufundi zachelewesha mpango wa kadi za kielektroniki kwa wavuvi

Na KALUME KAZUNGU MASWALI yameibuka baada ya kubainika kuwa mpango wa serikali kuwapa wavuvi wa Kaunti ya Lamu vitambulisho maalumu vya...

Wavuvi Lamu wadai maegesho yao yamenyakuliwa

Na KALUME KAZUNGU WAVUVI katika kisiwa cha Lamu wanaiomba serikali kuingilia kati na kuwasaidia kukomboa ardhi yao ya maegesho...