• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 12:48 PM

Wananchi kuumia zaidi bei ya mafuta ikipanda

Na WANDERI KAMAU SIKU moja baada ya bajeti kusomwa, Wakenya wameanza kuhisi athari zake huku Mamlaka ya Kudhibiti Kawi (EPRA) ikiongeza...

Mnawaumiza Wakenya kushindia kuongeza bei ya mafuta, serikali yaambiwa

CHARLES WASONGA SERIKALI imelaumiwa kwa bei za juu za mafuta nchini kutokana na kutoza bidhaa hizo kiwango cha juu cha...

KPC yaagizwa kuchunguza athari za mafuta yaliyomwagika Makueni

Na PIUS MAUNDU WAZIRI wa Maji Simon Chelugui ameitaka Kampuni ya Mafuta nchini Kenya (KPC) kuongeza juhudi katika kuchunguza kiwango cha...

MAFUTA: Gharama ya maisha kupanda zaidi

Na BERNARDINE MUTANU WAKENYA wanatarajiwa kukumbana na hali ngumu ya maisha kwa kipindi cha mwezi mmoja ujao, baada ya Tume ya...

Tullow kuanza kuchimba mafuta baada ya kupata idhini ya NEMA

Na BERNARDINE MUTANU KAMPUNI ya mafuta, Tullow itaanza kuchimba mafuta kwa kiwango kidogo eneo la Lokichar Kusini kuanzia wiki...

Hali ngumu zaidi baada ya bei ya mafuta kupanda tena

Na VALENTINE OBARA WAKENYA watazidi kukumbwa na hali ngumu ya maisha na hata kulemewa zaidi baada ya bei ya mafuta kuongezeka kwa kiasi...

2018: Je, mabadiliko ya hali ya anga yaliongeza bei ya mafuta?

Na BERNARDINE MUTANU Miezi kadhaa iliyopita, serikali iliweka ushuru wa asilimia 16 kwa bidhaa za mafuta na kusababisha bei ya mafuta...

Mafuta ya kuimarisha urembo yamfurisha uso

MASHIRIKA na PETER MBURU MWANAMKE mmoja amedai kuwa alikuwa karibu kufa alipotumia mafuta ya kubadili rangi ya nywele lakini...

ERC yaongeza bei ya mafuta tena

Na BERNARDINE MUTANU Kuanzia Jumatano saa sita za usiku, waendeshaji wa magari na Wakenya kwa jumla watanunua mafuta kwa bei ya juu. Hii...

Afisa wa Engen kizimbani kwa kuiba mafuta ya Oilibya

Na RICHARD MUNGUTI AFISA mkuu wa utendakazi katika kampuni ya kuuza mafuta  ya Engen alishtakiwa Jumatatu kwa kuiba bidhaa za mafuta ya...

Watumizi wa mafuta taa mijini sasa wageukia kuni kwa upishi

Na FAUSTINE NGILA WAKAZI wengi mijini ambao awali walikuwa wanatumia mafuta taa kupikia sasa wamegeukia kuni baada ya bei ya bidhaa hiyo...

Utata zaidi wakumba nchi huku mafuta yakikauka

Na WAANDISHI WETU GIZA limeendelea kutanda kuhusu gharama ya mafuta baada ya Mahakama Kuu mjini Bungoma kusimamisha ushuru mpya, siku...