• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 7:50 PM

Mbunge awakejeli magavana waliorudishia serikali mabilioni

Na Charles Lwanga MBUNGE wa Kilifi Kaskazini, Bw Owen Baya amewataka magavana wawajibike kutokana na ripoti kuwa baadhi ya kaunti...

Mipango ya magavana 2022 wakihitimisha mihula ya pili

Na CHARLES WASONGA MAGAVANA 21 ambao wanahudumu muhula wa pili wameanza mikakati ya kujipanga kusudi wasibaki katika baridi ya kisiasa...

Wakenya wapuuza kilio cha magavana

LEONARD ONYANGO na VALENTINE OBARA RAIA waliochoshwa na ulafi wa viongozi wa kisiasa nchini, wameonekana kutojali kilio cha magavana...

UGATUZI: Hatari ya shughuli za kaunti kukwama

Na CHARLES WASONGA HUENDA shughuli katika serikali 47 za kaunti zikakwama kuanzia mwezi Julai ikiwa suluhu la mvutano kuhusu ugavi wa...

Ajabu ya magavana kuajiri mapasta kuwaombea

Na VALENTINE OBARA MAGAVANA wanawaajiri wahubiri wa kuwaombea na kuwapa ushauri wa kiroho kwa mshahara wa hadi Sh1.7 milioni kwa mwaka,...

UFISADI: Magavana wataka ‘waheshimiwe’ wanapokamatwa

Na JUSTUS OCHIENG MAGAVANA wanataka "wapewe heshima" wakati wanapokamatwa kwa madai ya kuhusika kwenye kashfa za ufisadi. Kufuatia...

Magavana walia kuteswa na maseneta

Na PETER MBURU MAGAVANA wamelalamika kuwa maseneta wanawapiga vita wakitumia vikao vya kuwahoji kuhusu matumizi ya pesa za...

ONYANGO: Wananchi washinikize magavana kutekeleza manifesto zao

Na LEONARD ONYANGO NI Wakenya wangapi bado wanakumbuka manifesto zilizotolewa na magavana, maseneta, wabunge au madiwani wao kabla ya...

Magavana wajitetea dhidi ya shutuma za kupiga kambi Nairobi

Na KENNEDY KIMANTHI MAGAVANA waliokashifiwa kwa kuendesha shughuli za kaunti zao wakiwa Nairobi, wamejitetea kwamba walilalamika kwa...

Yafichuka magavana hukodisha ofisi na kufanyia kazi Nairobi

JUSTUS WANGA Na KENNEDY KIMANTHI MIAKA sita baada ya ugatuzi kuanza kazi nchini, magavana wengi bado wanaendesha kaunti zao wakiwa...

Magavana wafisadi kusimamishwa kazi wakichunguzwa

Na CHARLES WASONGA MAGAVANA na maafisa wakuu serikalini walioshtakiwa kwa ufisadi watalazimishwa kuondoka afisini kwa muda hadi mahakama...

Magavana 40 waliajiri mawaziri bila kuzingatia sheria – EACC

Na VITALIS KIMUTAI MAGAVANA karibu 40 wamekosolewa na Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kwa kukosa kutimiza mahitaji ya...