• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 7:53 PM

TAHARIRI: Pendekezo la vyuo laonyesha ubinafsi

NA MHARIRI MJADALA kuhusu kurejelea masomo kabla ya Januari mwaka huu, unaibua maswali mazito kuhusu wadau wa sekta ya...

Saidieni shule za kibinafsi zisifilisike, Magoha awarai wazazi

WIZARA ya Elimu imewarai wazazi wenye uwezo kifedha kuwasaidia walimu wa shule za kibinafsi, ili shule hizo zisifilisike kutokana na janga...

Corona yakoroga masomo

NA WANDERI KAMAU WANAFUNZI wote wa shule za msingi na upili watalazimika kurudia madarasa mwaka ujao, baada ya serikali kufutilia mbali...

Magoha amrushia Uhuru kiazi moto cha kufungua shule

Na FAITH NYAMAI UAMUZI kuhusu lini shule zitakapofunguliwa, sasa umo mikononi mwa Rais Uhuru Kenyatta. Waziri wa Elimu, Prof George...

Magoha asisitiza mitihani ya kitaifa ingalipo mwaka huu

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Elimu Prof George Magoha angali anasisitiza kuwa watahiniwa wa mitihani ya kitaifa - KCPE na KCSE -...

COVID-19: Magoha abadili kalenda ya masomo

Na CHARLES WASONGA LIKIZO ya mwezi Agosti itafupishwa kwa majuma mawili, vipindi vya masomo kuendeshwa kwa saa nyingi na likizo fupi ya...

SEKTA YA ELIMU: Magoha atoe mipango thabiti ya mageuzi katika vyuo vikuu

Na CHARLES WASONGA HATUA ya Waziri wa Elimu Profesa George Magoha ya kupiga marufuku mwenendo wa vyuo vikuu vya umma kubuni mabewa...

Magoha na wenzake waitwa bungeni

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Elimu Prof George Magoha, Inspekta Jenerali Hillary Mutyambai na Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume ya Huduma za...

UoN: Pigo kwa Magoha

Na CHARLES WASONGA PROFESA Stephen Kiama ataendelea kuhudumu kama Naibu Chansela wa Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) baada ya mahakama...

Maprofesa wenye tajiriba pevu wanahitajika vyuoni – Magoha

Na LAWRENCE ONGARO VYUO vikuu vya masomo vinastahili kuwa na maprofesa waliohitimu ili kuboresha elimu ya juu. Waziri wa Elimu...

Magoha awataka wazazi Migori waache kulialia baada ya eneo kutajwa ‘ngome ya wizi’

Na DERICK LUVEGA WAZIRI wa Elimu Prof George Magoha amepuuzilia mbali madai ya Muungano wa Wazazi katika Kaunti ya Migori kwamba...

Magoha kuongoza kikao kuhusu mitihani

Na CECIL ODONGO WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha leo Jumatatu anatarajiwa kukutana na wadau katika sekta ya elimu kupanga namna ya...