• Nairobi
  • Last Updated May 18th, 2024 8:57 PM

ODONGO: Malumbano ODM ni ishara ya juhudi za kumrithi Odinga

Na CECIL ODONGO UBABE kati ya Seneta wa Siaya James Orengo na baadhi ya wabunge waaminifu kwa Kinara wa ODM Raila Odinga, unaonyesha...

KAMAU: Viongozi watahadhari wanapopanga kukwamilia mamlakani

Na WANDERI KAMAU MNAMO Januari 16, 2001, dunia nzima iliamkia habari kuhusu kifo cha ghafla cha aliyekuwa rais wa DRC, Laurent...

MUTUA: Kinoti arekebishe kosa si kushtumu wanahabari

Na DOUGLAS MUTUA MKURUGENZI wa idara ya upelelezi wa jinai (DCI) anapaswa kutuliza boli, akiri kwamba wanahabari wamemnasa akisinzia...

OMAUYA: Mikopo inaalika utumwa na zigo la deni kwa vizazi vijavyo

Na MAUYA OMAUYA KUNA neno wanalosema wazee wa mambo kuhusu chupi ya kuazima. Sitarudia stori yote ya chupi hapa lakini nitafananisha...

MATHEKA: Uraibu wa Jubilee kukaidi maagizo ya korti ni aibu kubwa!

Na BENSON MATHEKA UAMUZI wa Mahakama Kuu kwamba mawaziri wanane waliohudumu muhula wa kwanza wa serikali ya Jubilee na mawaziri wote...

KINYUA BIN KING’ORI: Ubaguzi na ukabila umekithiri katika baadhi ya kaunti

Na KINYUA BIN KING'ORI SERIKALI nyingi za kaunti zimedhihirisha wazi kwamba zimejaa mapendeleo katika kuajiri wafanyakazi wa...

KAMAU: Wakenya tujiangalie upya jinsi tunavyoweka imani kwa Mungu

Na WANDERI KAMAU KWA mujibu wa takwimu kutoka kwa Sensa ya Kitaifa ya mwaka 2019, asilimia 80 ya Wakenya ni Wakristo huku asilimia 20...

NGILA: Teknolojia itumike kukabili uchafuzi wa mazingira

Na FAUSTINE NGILA KATIKA majukwaa mengi mitandaoni, mjadala wa mabadiliko ya tabianchi, Waafrika wamekuwa wakikosoa mabara ya Amerika,...

WASONGA: Uteuzi wa makamishna wapya wa IEBC uwe na uwazi

Na CHARLES WASONGA DALILI zaonyesha wazi kwamba uchaguzi mkuu ujao utashuhudia ushindani mkali haswa katika wadhifa wa urais. Hii ni...

WANGARI: Uteuzi wa jaji mkuu mpya utekelezwe kwa makini

Na MARY WANGARI WAKENYA wamekuwa wakifuatilia kwa makini shughuli ya kumteua Jaji Mkuu mpya ambayo ilianza mapema wiki...

ODONGO: Kwa kumpinga Raila, Obado anajiua kisiasa

Na CECIL ODONGO GAVANA wa Migori Okoth Obado anaendelea kijichimbia kaburi la kisiasa baada ya kujitokeza kumpinga kinara wa ODM Raila...

ONYANGO: Serikali irejeshe shuleni waliokosa kufanya KCPE

Na LEONARD ONYANGO KAULI ya Waziri wa Elimu George Magoha ambapo alipuuzilia mbali watahiniwa 12,424 waliokosa kufanya Mtihani wa Darasa...