• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 10:08 PM

Tume kuhusu haki yaitaka serikali kutumia mbinu za kiutu Mau

Na MAGDALENE WANJA SERIKALI ya Kenya imeshtakiwa katika Tume ya Afrika kuhusu Haki za Kibinadamu na za Watu kwa kufurusha waliokuwa...

Mbunge akamatwa kwa kuongoza maandamano msituni Mau

Na GEORGE SAYAGIE MBUNGE wa Emurrua Dikirr, Johanna Ngeno amekamatwa ndani ya Maasai Mau baada ya kuongoza maandamano kupinga watu...

Mwanasiasa, chifu matatani kwa uharibifu wa msitu Murang’a

Na SAMMY WAWERU POLISI Murang'a wanachunguza mwanasiasa anayehudumu katika bunge la kaunti hiyo, wasaidizi wake wawili na ambao...

Serikali yatakiwa kutaja wanyakuzi wa msitu wa Mau

GEORGE SAYAGIE na PATRICK LANG’AT SERIKALI inaendelea kukabiliwa na shinikizo za kuwafichua na kuwashtaki mabwenyenye walionyakua...

Juhudi za kukabiliana na Al-Shabaab msituni Boni ziongezwe – Viongozi wa Lamu

[caption id="attachment_3981" align="aligncenter" width="800"] Mbunge wa Lamu Mashariki, Sharif Athman akiohijwa na Taifa Leo. Picha/...