• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 10:50 AM

PATA USHAURI WA DKT FLO: Jicho la kulia latetema

Na DKT FLO Mpendwa Daktari, KWA wiki kadhaa sasa, jicho langu la kulia limekuwa likitetema. Je, kuna maelezo ya kimatibabu kuhusu...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Nahisi uchungu mwingi baada ya kung’oa jino

Na DKT FLO Mpendwa Daktari, MIMI ni mwanamke mwenye umri wa miaka 33. Wiki kadhaa zilizopita niliong’olewa jino langu la nyuma...

DKT FLO: Mbona napata UTI kila nikigawia mume asali?

Mpendwa Daktari, Mume wangu anafanya kazi katika mji mwingine na sisi hukutana baada ya miezi miwili na mitatu. Tatizo ni kwamba...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Uvimbe ulitibiwa lakini umerudi tena

Na DKT FLO Mpendwa Daktari, Babangu ana uvimbe mgongoni mwake. Ulichipuka miaka michache iliyopita ambapo ulikuwa mkubwa kiasi cha...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Unene kwa wanaume unaathiri burudani?

Na DKT FLO Mpendwa Daktari, Ni kweli kwamba kama mwanamume, unene unaathiri uwezo wako kitandani? Kevin, Mombasa Mpendwa...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Nimeona upele kifuani ingawa hauna maumivu

Na DKT FLO KWA miezi kadha sasa nimekuwa nikikumbwa na upele usio na maumivu kifuani mwangu. Nini kinaweza kuwa kinasababisha shida...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Tafadhali fafanua ‘siku salama’ katika masuala ya hedhi

Na DKT FLO NILISOMA mawaidha yako kuhusu iwapo mwanamke anaweza kushika mimba iwapo atashiriki tendo la ndoa siku ya mwisho ya...

PATA USHAURI WA DKT FLO: UTI husambazwa kupitia ngono?

Na DKT FLO MKE wangu amekuwa akikumbwa na maambukizi katika mfumo wa njia ya mkojo (Urinary Tract Infection - UTI) kila mara, na cha...

PATA USHAURI WA DKT FLO: ‘Pap Smear’ yatakiwa ifanywe mara ngapi?

Na DKT FLO Mpendwa Daktari, Nimekuwa nikitamani kufanyiwa uchunguzi wa ‘Pap Smear’, lakini kutokana na sababu kwamba sina ajira,...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Maumivu kooni yanitia wasiwasi

Na DKT FLO Mpendwa Daktari, Nimekuwa nikikumbwa na maumivu ya koo kwa miezi miwili sasa. Licha ya kwamba nimekuwa nikipokea matibabu,...