• Nairobi
  • Last Updated April 15th, 2024 2:58 PM
AMINI USIAMINI: Kuna ndege mchinjaji

AMINI USIAMINI: Kuna ndege mchinjaji

NA MWORIA MUCHINA

NDEGE anayeitwa redbacked shrike pia anafahamika kama ‘butcher bird’ ama ndege mchinjaji.

Hii ni kwa sababu, ndege huyu hukusanya mawindo yake na kudungilia kwenye miiba ya miti karibu na anapoishi.

Utaona mizoga ya wadudu, nzige, mijuzi na hata ndege wengine wadogo ikining’inia kwenye miiba.

Wakati ambapo chakula ni adimu, ndege huyu hutoa kipande cha chakula alichodungilia kwenye miiba na kula.

  • Tags

You can share this post!

Washukiwa wanne wa mtandao wa wizi wa simu wakamatwa jijini...

Ni upumbavu kunizuia kuzungumzia watu wangu Turkana, Raila...

T L