• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 5:55 AM
UJAUZITO NA UZAZI: Ishara za ‘nasal polyps’ kwa mtoto

UJAUZITO NA UZAZI: Ishara za ‘nasal polyps’ kwa mtoto

NA PAULINE ONGAJI

KUMBUKA kuwa ishara hizi ni sawa na za mafua.

Aidha, unashauriwa kutafuta usaidizi wa kimatibabu endapo utashuhudia dalili zifuatazo:

  • Ugumu anapopumua.
  • Dalili zilizotajwa zinapozidi.
  • Anapokumbwa na ugumu wa kuona vizuri au matatizo anapopindua macho.
  • Anapokumbwa na uvimbe katika sehemu ya macho.
  • Kichwa kinapozidi kuuma maumivu haya yakiambatana na homa au ugumu wa kusongesha kichwa.

    Ni nini kinachosababisha hali hii?
  • Ingawa kuna tafiti kadhaa kuhusu nasal polyps, wanasayansi hawajafanikiwa kupata sababu halisi zinazochochea hali hii.
  • Matibabu tofauti hutumika kutibu hali hii lakini hutegemea na kiwango cha uvimbe.
  • Matibabu huangazia sana jinsi ya kupunguza saizi ya uvimbe ili kukabiliana na ishara.
  • Tags

You can share this post!

MIKIMBIO YA SIASA: Mchujo ndicho kiini cha mipasuko katika...

MAPISHI KIKWETU: Wali mwekundu kwa samaki

T L