• Nairobi
  • Last Updated December 4th, 2023 7:22 PM
TAHARIRI: Hujuma hii kwa ugatuzi hakika haifai

TAHARIRI: Hujuma hii kwa ugatuzi hakika haifai

NA MHARIRI

INASIKITISHA kuwa tangu Desemba 2022, serikali ya Kenya Kwanza haijatuma mgao wa kaunti kwa magatuzi hayo.

Hali hiyo imesababisha mkwamo wa maendeleo katika kaunti zote 47. Pesa hizo hufaa kutumwa kwa awamu nne kwa mwaka, yaani kila baada ya miezi mitatu. Kutokana na ukosefu wa pesa, kaunti hazijawalipa mishahara wafanyakazi kwa miezi minne sasa. Wafanyakazi hao sasa wanaishi kwa neema ya Mungu tu.

  • Tags

You can share this post!

Akiri kuua mkewe ‘kwenye fumanizi akizini’

Raila sasa atishia kurejea barabarani

T L