• Nairobi
  • Last Updated October 2nd, 2023 10:18 AM
Oburu Oginga na Ombaka wataka Orengo na naibu wake wasuluhishe tofauti zao

Oburu Oginga na Ombaka wataka Orengo na naibu wake wasuluhishe tofauti zao

NA SAMWEL OWINO

SENETA wa Kaunti ya Siaya Oburu Oginga na Mbunge Mwakilishi wa Jinsia ya Kike wa Kaunti ya Siaya Christine Ombaka sasa wanataka Gavana James Orengo na naibu wake William Oduol wasuluhishe tofauti baina yao.

Wawili hao wamekuwa na mvutano wa muda mrefu na hata imefikia hatua ambapo baadhi ya madiwani wanataka kupiga kura ya kumwondoa Bw Oduol katika nafasi hiyo.

  • Tags

You can share this post!

Magonjwa ya kisonono, kaswende yalemea vijana nchini...

Itumbi alia kucheleweshwa kwa kesi ya ‘njama ya...

T L