Felly Mulumba kuisakatia Bandari wikendi

ABDULRAHMAN SHERIFF, MOMBASA ALIYEKUWA mchezaji wa FC Platinum ya Zimbabwe, Felly Mulumba ni miongoni mwa wachezaji wa kikosi cha timu...

Gor Mahia na Bandari FC kukosa fedha za CAF za mfuko wa kukabili Covid-19

Na GEOFFREY ANENE WAWAKILISHI wa Kenya katika soka ya Bara Afrika ya msimu 2019-2020, Gor Mahia na Bandari wanasalia kumeza mate wengine...

Bandari waamini hatima yao ni leo Jumamosi wakisaka Betway

Na ABDULRAHMAN SHERIFF MATOKEO ya mechi ya Kombe la FKF (Betway) baina ya Bandari na Sofapaka FC itakayopepetwa uwanjani Mbaraki Sports...

Hofu Bandari kwa matokeo duni, sasa waita mkutano

Na ABDULRAHMAN SHERIFF na GEOFFREY ANENE KOCHA wa Bandari FC, Bernard Mwalala anapanga kuitisha mkutano wa dharura wa wachezaji, maafisa...

Bandari ange kuzichapa na Cape Town City kirafiki

Na ABDULRAHMAN SHERIFF na GEOFFREY ANENE TIMU ya Bandari FC imeratibiwa kucheza mechi ya kwanza ya kujipima nguvu dhidi ya timu ya Cape...

Bandari yang’oa Mathare United kileleni

Na GEOFFREY ANENE BANDARI FC imedumisha rekodi yake ya kutoshindwa na Posta Rangers hadi mechi saba baada ya kuandikisha ushindi wake wa...

Baada ya kuilambisha sakafu Gor, Bandari sasa wasema ligi ni yao

NA CECIL ODONGO KOCHA wa Bandari FC  Bernard Mwalala anaamini kwamba timu hiyo inaweza kutwaa ubingwa wa KPL msimu huu baada ya...

Weledi wa Mwalala utaifaa Bandari ligini – Obungu

Na CECIL ODONGO ALIYEKUWA Mnyakaji wa Klabu ya Bandari FC Wilson Obungu ambaye sasa ni moja wa wakufunzi katika timu hiyo amesema ujio wa...