• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 11:13 AM

Sheria mpya ya gesi kisiki kwa wafanyabiashara

Na LAWRENCE ONGARO SHERIA mpya ya uuzaji wa mafuta na gesi imelazimisha wafanyibiashara wengi kufunga biashara zao Murang'a. Mamlaka...

Ubadilishaji wa mitungi ya gesi wapigwa marufuku

NA ANITA CHEPKOECH SERIKALI imepiga marufuku vituo vya gesi kujaza mitungi ya kampuni zingine. Hii inamaanisha kuwa Wakenya...

Serikali yaanza kusaka mafuta na gesi Kajiado

Na BERNARDINE MUTANU Serikali imeanza shughuli ya kutafuta mafuta na gesi Kajiado. Hii ni kutokana na kuwa kumekuwa na dalili za kuwepo...

Gesi yakosekana Lamu

NA KALUME KAZUNGU SHUGHULI ya kuchimba gesi ambayo imekuwa ikiendelea kwa muda wa mwaka mmoja uliopita katika kisiwa cha Pate, Kaunti ya...

Moto wa karatasi wateketeza kiwanda cha gesi

NA LAWRENCE ONGARO WAWEKEZAJI wa kiwanda kimoja mjini Thika wanakadiria hasara baada ya mali yao kuchomeka kutokana na moto wa...

Bei ya gesi yazidi kupaa

Na BERNARDINE MUTANU Bei ya gesi ya kupika inaendelea kupanda licha ya serikali kuondoa ushuru kwa bidhaa hiyo. Kwa miezi 27...

Yathibitishwa gesi iliyopatikana Nyeri ni CO2

Na BERNARDINE MUTANU Gesi iliyopatikana wakati wa kuchimba kisima Nyeri ilikuwa dioksidi ya kaboni (CO2)kulingana na uchunguzi uliofanywa...

Etihad yajizatiti kupunguza hewa chafu

Na BERNARDINE MUTANU Shirika la Ndege la Etihad lilifanikiwa kudhibiti tani 195,000 za hewa chafu mwaka wa 2017. Hii ni baada ya kuzindua...

Kiwanda kipya cha gesi kujengwa Murang’a

Na BERNARDINE MUTANU Mwekezaji mmoja analenga kujenga kiwanda cha kutengeza mitungi ya gesi katika Kaunti ya Murang’a. Kampuni hiyo...