Tag: JOWIE
Jowie sasa ageukia usanii wa nyimbo za injili
Na SAMMY WAWERU Bw Joseph Kuria Irungu almaarufu ‘Jowie’ mshukiwa mkuu katika mauaji ya mfanyabiashara Monicah Kimani amegeukia...
- by adminleo
- February 13th, 2020
Marafiki wamsaidia Jowie kuchanga Sh2m za dhamana
Na Richard Munguti MSHUKIWA mkuu katika mauaji ya mfanyabiashara aliyekuwa akihudumu Sudan Kusini Monicah Kimani, Joseph Irungu...
- by adminleo
- February 13th, 2020
Jowie aachiliwa kwa dhamana ya Sh2 milioni pesa taslimu
Na MAUREEN KAKAH JOSEPH Irungu 'Jowie' aliyeshtakiwa katika mauaji ya Monica Kimani ameachiliwa kwa dhamana ya Sh2 milioni pesa...
- by adminleo
- November 22nd, 2019
Niliipata maiti ya Monica kwa bafu, shahidi asimulia mahakamani
Na RICHARD MUNGUTI KAKA yake mfanyabiashara Monica Kimani aliyeuawa baada ya kurejea nchini kutoka Sudan Kusini Monica Kimani jana...
- by adminleo
- November 21st, 2019
Mahakama yaambiwa Jowie ndiye alikuwa wa mwisho kuonekana na marehemu Monica Kimani
Na RICHARD MUNGUTI MPENZIWE aliyekuwa mtangazaji katika kituo kimoja cha televisheni, Jacque Maribe, Bw Joseph Kuria Irungu 'Jowie'...
- by adminleo
- June 18th, 2019
Jowie akumbushwa maskani yake ni rumande
Na RICHARD MUNGUTI MPENZIWE aliyekuwa mtangazaji wa runinga Jacque Maribe, Bw Joseph Kuria Irungu almaarufu Jowie ataendelea kukaa...
- by adminleo
- May 28th, 2019
Jowie kusalia ndani hadi Juni 18
Na RICHARD MUNGUTI MPENZIWE aliyekuwa mtangazaji wa runinga Jacque Maribe, Bw Joseph Kuria Irungu almaarufu Jowie Jumanne aliwasilisha...
- by adminleo
- November 1st, 2018
KWA KINA: Jowie alipiga na kupokea simu zaidi ya mara 100 usiku wa kuuawa kwa Monica
Na BRIAN WASUNA BAADA ya Joseph Irungu (Jowie) ambaye ni mshukiwa mkuu katika mauaji ya mfanyabiashara Monica Kimani, kunyimwa bondi na...
- by adminleo
- October 31st, 2018
Mama Jowie azirai kortini baada ya kilio mwanawe aliporudishwa ndani
Na RICHARD MUNGUTI KILIO kilipasua kimya ndani ya mahakama pale mshukiwa wa mauaji aliyeelezewa na mahakama kuwa “mlaji wa wanawake”...
- by adminleo
- October 24th, 2018
MAPENZI MAHAKAMANI: Jacque na Jowie kujua hatima yao Oktoba 30
Na RICHARD MUNGUTI KATIKA siku iliyojaa mapenzi na kukumbatiana mahakamani, mwanahabari Jacque Maribe na mchumba wake Bw Joseph Kuria...
- by adminleo
- October 17th, 2018
Jacque Maribe na Jowie warudishwa rumande hadi Oktoba 24
NA RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA KUU Jumatano imeamuru mwanahabari Jacque Maribe na mchumba wake Joseph Iirungu (Jowie) warudishwe rumande...
- by adminleo
- October 16th, 2018
Jacque Maribe na mchumba wake waanza safari ya kujinasua
Na Richard Munguti MTANGAZAJI wa runinga Jacque Maribe na mchumba wake Jumatatu walikanusha shtaka la kumuua mfanyabiashara Monica...