Forgot Password/Username?
JACKLINE Nyawira, 20, ni mzaliwa wa Nyeri. Yeye ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Kenyatta kwa sasa anakosomea udaktari. Uraibu wake ni kusoma, kucheza chesi na kuogelea. Picha/ Lucy Wanjiru