• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 6:55 AM

REDIO: Mawimbi haya yanafaa kuvumisha Kiswahili, si kukiua

NA STEVE MOKAYA Kwa miaka na mikaka sasa, redio imekuwa ni chombo pendwa zaidi cha mawasiliano kwa watu mbalimbali: matajiri kwa...

Msomi Prof Euphrase Kezilahabi aombolezwa

Na WANDERI KAMAU MWANDISHI maarufu wa Fasihi ya Kiswahili, Profesa Euphrase Kezilahabi, alifariki Alhamisi akiwa na umri wa miaka...

LANGAT: Kiswahili chazidi kupanua mbawa zake barani Afrika

Na PATRICK LANGAT KUANZIA mwaka ujao, Kiswahili kitaanza kufunzwa rasmi kama somo lisilo la lazima katika shule 90 nchini Afrika...

Kiswahili chasajili matokeo bora KCSE

MARY WANGARI na DIANA MUTHEU KISWAHILI ni miongoni mwa masomo yaliyoandikisha matokeo bora zaidi katika Mtihani wa Kitaifa wa Elimu ya...

Wasomaji wa Kiswahili wapenzi wa Taifa Leo wakongamana mjini Voi

Na LUCY MKANYIKA WANACHAMA wa Chama cha Wasomaji wa Kiswahili wa Taifa Leo (WAKITA) wanakongamana kwenye kikao cha Jumamosi mjini...

KONGAMANO LA CHAKAMA: Kongamano laanza leo Alhamisi katika Chuo Kikuu cha Maasai Mara

Na CHRIS ADUNGO KONGAMANO la Kimataifa la Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAKAMA) litafunguliwa leo Alhamisi na Gavana wa Kaunti...

Spika wa Tanzania arai wabunge nchini Kenya watumie Kiswahili

Na CHARLES WASONGA SPIKA wa bunge la Tanzania Job Yustino Ndugai amewataka wabunge kutumia Kiswahili katika mijadala yao kwa sababu ndio...

KINA CHA FIKIRA: Sawa na Kiingereza, kuna Kiswahili na ‘Viswahili’ ainati

Na KEN WALIBORA NI rahisi sana kudhani kwamba ipo lugha moja hivi iitwayo Kiingereza duniani. Ni hayati Mwalimu Julius Nyerere ndiye...

KINA CHA FIKIRA: Hadhari mno ahadi za serikali kuhusu Baraza la Kiswahili

Na KEN WALIBORA WATU wenye matumaini wanapenda kutumaini pawepo au pasiwepo msingi wa kutumaini. Hawataki kuitwa wendaguu, yaani watu...

Hakuna Matata: Watanzania na Wakenya wazozana baada ya Dortmund kutumia Kiswahili Twitter

Na LEONARD ONYANGO WAKENYA na Watanzania wanazidi kurushiana cheche za maneno baada ya timu inayocheza ligi ya Bundesliga, Borussia...

RISSEA: Kituo kinachohifadhi utamaduni wa jamii za Pwani

NA RICHARD MAOSI RISSEA (Research Institute of Swahili Studies of East Afrika) ni taasisi ambayo ilibuniwa mnamo 1992 ili kuhifadhi...

Serikali ya Museveni yapitisha kuundwa kwa Baraza Kuu la Kiswahili

NA MASHIRIKA KAMPALA, UGANDA SERIKALI imeidhinisha hoja ya kutaka kubuniwa kwa Baraza la Kitaifa la Kiswahili litakalotoa mwongozo...