• Nairobi
  • Last Updated May 8th, 2024 8:55 PM

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Hatua za mwanzo za usanifishaji Kiswahili

Na WANDERI KAMAU KIPINDI cha kuanzia mwaka 1930 hadi mwaka 1938 kilikuwa muhimu sana kwa historia ya usanifishaji wa...

Walimu wapinga pendekezo Kiswahili kufunzwa shuleni Namibia

Na MASHIRIKA BARAZA la Mawaziri la Namibia limeidhinisha hoja ya kutaka lugha ya Kiswahili ifundishwe shuleni. Walimu hata hivyo,...

ADUNGO: Kiini cha tofauti za matumizi ya lugha katika miktadha mbalimbali

NA CHRIS ADUNGO MATUMIZI ya lugha ni namna ambavyo wazungumzaji hutumia lugha kwa kuzingatia mila, desturi na kaida mbalimbali za jamii...

Nancy Macharia anashindwaje kujieleza kwa Kiswahili?

NA HENRY INDINDI WIKI iliyopita Jumatano katika uangalizi wa mafunzo ya mfumo mpya wa elimu wa umilisi na utendaji (CBC), nilishuhudia...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nafasi ya Kiswahili katika ujenzi wa jamii mpya ya Afrika

Na CHRIS ADUNGO LUGHA ni chombo muhimu sana cha mawasiliano kilichoundwa na sauti za nasibu za kusemwa na kutumiwa na jamii ya utamaduni...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nafasi ya Kiswahili kama lugha ya kufundishia katika ngazi za elimu

Na MARY WANGARI WANAFUNZI wanaelewa vizuri wanapofundishwa katika lugha ya Kiswahili kama anavyosema Brock-Utne (2000) na Brock-Utne...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Kiswahili kama lugha ya kufundishia kwa mujibu wa wataalamu

Na MARY WANGARI TUNAENDELEA kufafanua mada kuhusu nafasi ya Kiswahili kama lugha ya kufundishia kwa kuangazia wataalamu...

KAULI YA WALIBORA: Baadhi ya shule zinakosea kuharamisha matumizi ya Kiswahili

NA PROF KEN WALIBORA GAZETI la Daily Nation la Desemba 4, 2018 limebeba habari ya tamko langu kuhusu marufuku dhidi ya kuzungumza...

KAULI YA WALIBORA: Usiivyoge lugha kimatumizi iwapo huimanyi barabara

NA PROF KEN WALIBORA Ninapenda kusikiliza idhaa ya Kiingereza ya BBC sio tu kwa sababu ya kuarifiwa, kuburudishwa, na kufundishwa bali...

KAULI YA WALIBORA: Wahariri wana nafasi aali ya kuinua thamani na haiba ya Kiswahili

NA PROF KEN WALIBORA TOVUTI ya kituo maarufu cha televisheni nchini mapema wiki hii ilikuwa na habari kuhusu “silaha za moto,” kauli...

WALLAH BIN WALLAH: Guru mfia lugha anayeyabeba majukumu ya asasi za serikali

Na CHRIS ADUNGO TUNAPOVUTA taswira ya safari ya makuzi ya Kiswahili katika kipindi cha miongo mitatu iliyopita, hapana shaka kwamba...

KAULI YA MATUNDURA: Kiswahili kinashuhudia mwamko mpya na wa kipekee kote duniani

NA BITUGI MATUNDURA MWAKA huu unaweza kutajwa kuwa ‘mwaka wa matumaini makuu’ kwa lugha ya Kiswahili si tu Afrika ya Mashariki na...