• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 8:50 AM

Mashabiki waruhusiwa kuingia viwanja vya Kenya kwa mara ya kwanza tangu Machi 2020

Na VICTOR OTIENO WAPENZI wa michezo sasa wanaweza kuingia viwanjani kushangilia timu zao baada ya serikali kutangaza kuwa imeondoa...

Uwanja wa Nyayo kuwa mwenyeji wa duru zote tatu za Mbio za Kupokezana Vijiti za AK

Na CHRIS ADUNGO DURU zote tatu za Mbio za Kupokezana Vijiti za Shirikisho la Riadha la Kenya (AK) zitaandaliwa katika uwanja wa Nyayo,...

Nyayo Stadium kufunguliwa na Rais Kenyatta hapo Septemba 26

Na GEOFFREY ANENE UWANJA wa kitaifa wa Nyayo hatimaye unatarajiwa kufunguliwa na Rais Uhuru Kenyatta hapo Septemba 26, miaka mitatu...

Vinara wa CAF kukagua uwanja wa Nyayo baada ya ukarabati kukamilika

Na CHRIS ADUNGO VINARA wa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) wanatarajiwa kutua jijini Nairobi mnamo Julai au Agosti 2020 kwa lengo la...

Atwoli atoa salamu za pole kwa familia ya Moi, afananisha Nyayo na BBI

Na WANDERI KAMAU KATIBU Mkuu wa Chama cha Kitaifa cha Wafanyakazi (Cotu-K) amesema kuwa Rais Mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi alikuwa...

Nyayo tayari kuandaa KPL

Na JOHN ASHIHUNDU BAADA ya kufungwa kwa miaka miwili kutokana na shughuli za ukarabati, uwanja wa kitaifa wa Nyayo sasa utaanza kutumika...