• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 5:55 AM

Benki ya NCBA yazindua tawi la Ruiru

Na LAWRENCE ONGARO WAFANYABIASHARA wa kaunti ndogo ya Ruiru, Kaunti ya Kiambu watanufaika pakubwa na huduma za kifedha baada ya benki...

Kituo cha polisi kujengwa eneo la Gatong’ora

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Gatong'ora kilichoko mjini Ruiru, wamepata afueni baada ya serikali kutenga fedha za kujenga...

Nyumba za kisasa kujengwa Ruiru na Thika

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Ruiru watanufaika kwa ujenzi wa nyumba 500 eneo la Majengo karibu na soko kuu la eneo hilo. Gavana wa...

Mwanamke auawa kwa kunyongwa Ruiru mpenzi wa kiume akiwa mshukiwa

Na LAWRENCE ONGARO HOFU ilitanda katika kijiji cha Kambi Moto mjini Ruiru, Kaunti ya Kiambu baada ya mwanamke kwa kunyongwa, mshukiwa...

Rais Kenyatta azindua kiwanda cha kutengeneza silaha za idara ya usalama Ruiru

Na SAMMY WAWERU RAIS Uhuru Kenyatta, Alhamisi amezindua kiwanda kidogo cha kutengeneza silaha zitakazotumika na maafisa wa usalama...

Wachuuzi wa vyakula Ruiru walalamika

Na LAWRENCE ONGARO WACHUUZI wanaouza vyakula mjini Ruiru waliandamana mwishoni wiki jana kwa kile walichotaja kama kudhulumiwa na askari...

Ruiru, mtaa unaokua kwa kasi kufuatia kujengwa kwa Thika Superhighway

Na SAMMY WAWERU KATIKA barabara ya Thika Road maarufu kama Thika Superhighway, pembezoni ni mitaa kadhaa. Kati ya Juja na Githurai,...

Wajane mjini Ruiru wapewa chakula

Na LAWRENCE ONGARO WAJANE wanastahili kulindwa ili kuepushiwa balaa na dhuluma wanazopitia. Naibu Gavana wa Kaunti ya Kiambu Bi Joyce...

Ruiru Girls yapata wafadhili ujenzi wa madarasa, mabweni

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya kujenga mabweni ya wasichana hasa katika mji wa Ruiru ili wanafunzi wa kike wasipate shida ya kutafuta...

Wakazi wa Ruiru waandama wakilalama kuhusu barabara mbovu

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa mtaa wa Kwa Kairu mjini Ruiru, waliandamana Ijumaa wiki jana kwa sababu ya ubovu wa barabara za eneo...

Jaji mkuu David Maraga afungua mahakama ya mjini Ruiru

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya serikali kujenga Mahakama nyingi kote nchini ili kutosheleza maswala ya upatikanaji haki na huduma...