• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 7:00 PM

Mama taabani kwa kuwachoma wanawe kwa upanga moto

Na RICHARD MUNGUTI MWANAMKE aliyewafanyia unyama wanawe wawili kuwa kuwachoma kwa upanga moto ameshtakiwa. Huku akiwa na hasira za mkizi...

TAHARIRI: Lazima ukatili wa walimu ukabiliwe

Na MHARIRI POLISI wanapaswa kuharakisha na kuwatia mbaroni walimu wawili wa shule moja ya msingi katika kaunti ya Nyandarua,...

Mwalimu atupwa ndani kwa kujeruhi mwanafunzi nyeti

Na STEPHEN NJUGUNA POLISI katika Kaunti ya Nyandarua, wamemkamata mmoja wa walimu watatu ambao Alhamisi iliyopita walidaiwa kumpiga...

Polisi watetea udhalimu wao

Na LEONARD ONYANGO IDARA ya Polisi imetetea maafisa wake wawili ambao walinaswa katika video wakimtesa na kumhamisha kwa nguvu mwanamke...

TAHARIRI: Ukatili wa polisi dhidi ya waandishi ulikiuka haki

Na MHARIRI UKATILI uliotekelezwa na maafisa wa polisi dhidi ya wanahabari katika Uwanja wa Ndege wa JKIAmnamo Jumatatu wakati wa kurejea...

Polisi huyu amenishtaki kwa kumnyima asali, kidosho aambia mahakama

[caption id="attachment_3262" align="aligncenter" width="800"] Mary Wanjiru Ndung’u akiwa kortini Machi 20, 2018. Picha /RICHARD...