• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 6:55 PM
Wakazi wa Keiyo wakataa naibu chifu asiye mwenyeji

Wakazi wa Keiyo wakataa naibu chifu asiye mwenyeji

NA EVANS JAOLA

WAKAZI wa Keiyo eneobunge la Kwanza katika Kaunti ya Trans Nzoia wameandamana Ijumaa wakipinga kuteuliwa kwa naibu chifu ambaye wanasema si mwenyeji.

Maandamano hayo yamesababisha wasiwasi Trans Nzoia na katika kaunti jirani ya West Pokot.

Kamishna wa Kaunti Gideon Uyagi amesema suala hilo linashughulikiwa kuzima mgogoro unaoshuhudiwa.

  • Tags

You can share this post!

Wafuasi wa Maina Njenga wazushia DCI

Nilikodishwa tu kusafirisha sukari, mshukiwa ajitetea

T L