• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 8:55 PM

Wakazi Pwani walalama kuuziwa nyumba bila ardhi

Na PHILIP MUYANGA HEBU tafakari haya; unavutiwa na nyumba, ukachukua mkopo na kuilipia. Unapojiandaa kutwaa umiliki wake, aliyekuuzia...

Serikali yakomesha ujenzi katika ardhi zinazozaniwa

Na ALEX AMANI SERIKALI imetangaza kwamba, haitaruhusu aina yoyote ya ujenzi katika ardhi zinazozozaniwa katika eneo bunge la Magarini,...

Familia kadhaa zafurushwa kutoka kipande cha ardhi kinachodaiwa kumilikiwa na chuo kikuu

Na KALUME KAZUNGU FAMILIA zaidi ya 10 zinahangaika bila makao Kaunti ya Lamu baada ya kufurushwa kutoka kwa kipande cha ardhi chenye...

Maendeleo yalivyokwama Zimmerman kutokana na mzozo wa ardhi

NA SAMMY WAWERU Ujenzi wa soko la Zimmerman Settlement Scheme, pembezoni mwa Thika Super Highway eneo la Carwash lililoko mtaa wa...

Mzee jela miaka 30 kwa kunyakua kipande cha ardhi

Na GEORGE MUNENE MAHAKAMA ya Embu, Alhamisi imemtoza faini ya Sh1.2 milioni Mzee Evanson Kihumba, 83, au atumikie kifungo cha miaka 30...

Ardhi: Familia 500 zalia kunyanyaswa na matajiri

Na MOHAMED AHMED FAMILIA zaidi ya 500 katika eneo la Bamburi, Mombasa zimelalamikia ubomoaji wa nyumba zao unaodaiwa kutekelezwa na...

Wanawake walilia usawa katika Bodi za Mashamba

Na LAWRENCE ONGARO na LEONARD ONYANGO WANAWAKE zaidi ya 100 kutoka kaunti tofauti nchini, Jumanne walikongamana jijini Nairobi ili...

‘Unaponunua kipande cha ardhi fuata taratibu kisheria ili kuepuka kutapeliwa’

Na SAMMY WAWERU KWA zaidi ya miaka 15 Hellen Jepkemoi ambaye ni mkazi wa kaunti ya Uasin-Gishu amekuwa akijaribu juu chini kutafuta...

LSK yadai ufisadi umerejea Wizara ya Ardhi

Na GAKUU MATHENGE JUHUDI zinazoendelea za kuteua makamishna wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi (NLC) hazitakuwa na maana yoyote ikiwa...

Washtakiwa ulaghai kwa dai ardhi ilikuwa na mapepo

Na SAM KIPLAGAT WANAUME watatu ambao walimdanganya mfanyabiashara mmoja katika mtaa wa Kitisuru, Nairobi kwamba ardhi yake ilikuwa na...

Wakazi wa Muri Farm wapata hatimiliki za vipande vyao vya ardhi

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wapatao 400 wa Muri Farm, Kaunti ya Machakos, leo Jumanne wamepokea hatimiliki kupitia shirika la kilimo la...

Washtakiwa kwa kumpunja mfanyabiashara Sh2 milioni wakidai ardhi ina ‘mapepo’

Na MWANDISHI WETU WANAUME watatu wamefikishwa mahakamani jijini Nairobi ambapo wamekabiliwa na mashtaka ya kumhadaa na kumpunja Bw...