Tag: BI TAIFA
BI TAIFA OKTOBA 08, 2020
Mary Gichuru 23, ni mfanyibiashara wa mitindo na mapambo kutoka Kaunti ya Nakuru. Anapenda kushiriki kwenye majukwaa ya urembo, kusafiri na...
BI TAIFA OKTOBA 07, 2020
Grace Mukuhi, mwenye umri wa miaka 20, ni mwanamitindo jijini Nairobi, mtaa wa Uthiru. Uraibu wake ni kusikiza muziki, kuogelea na...
BI TAIFA OKTOBA 06, 2020
Mary Wambui, 21, ndiye anatupambia tovuti yetu leo. Yeye ni mwanamitindo katika mtaa wa Uthiru, Kaunti ya Nairobi. Uraibu wake ni kupika,...
BI TAIFA OKTOBA 05, 2020
Eunice Muthoni, 21, ni mpishi hodari na mwanamitindo mtaani Uthiru, Nairobi. Uraibu wake ni kusafiri, kuogelea na kupika. Picha/Richard...
BI TAIFA OKTOBA 04,2020
Elizabeth Almasi, mwenye umri wa miaka 22, ni mkazi wa eneo la Bahati, Kaunti ya Nakuru. Yeye ni mwanafunzi katika Taasisi ya Kenya Youth...
BI TAIFA OKTOBA 03, 2020
Eunice Muthoni, 21, ni mpishi hodari na mwanamitindo mtaani Uthiru, Nairobi. Uraibu wake ni kusafiri, kuogelea na kupika. Picha/Richard...
BI TAIFA OKTOBA 02, 2020
Ruth Wanjira, 25, ni mwanamitindo mtaani Uthiru, Nairobi. Yeye ni mfanyabiashara na anaenzi kupiga picha na kutazama filamu....
BI TAIFA OKTOBA 01, 2020
Mary Wambui, 21, ndiye anatupambia tovuti yetu leo. Yeye ni mwanamitindo katika mtaa wa Uthiru, Kaunti ya Nairobi. Uraibu wake ni kupika,...
BI TAIFA AGOSTI 29, 2020
Tasha Wanjiru 24, ni mfanyibiashara na mtaalamu wa vipodozi kutoka kaunti ya Uasin Gishu. Anapenda kusafiri na kukutana na marafiki wapya....
BI TAIFA AGOSTI 28, 2020
Gloria Fatuma 24 , ni mwanamitindo na mshonaji wa aina mbalimbali ya miondoko kutoka Eldoret. Anapenda kuogelea na kutazama filamu za Soap...
BI TAIFA AGOSTI 27, 2020
Hilda Motanya 30, ni mwanafasheni katika Kaunti ya Uasin Gishu. Yeye ni mshindi wa tuzo ya Miss Red Cross Kenya. Anapenda kujumuika katika...
BI TAIFA AGOSTI 26, 2020
Rahab Ngari 24, ni mwanafunzi wa uanahabari katika Chuo Kikuu Cha Mount Kenya Nakuru. Uraibu wake ni kutazama filamu na kucheza voliboli....