• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 3:16 PM

Aliyekuwa meya Lamu ageuka bodaboda kujipatia riziki

Na KALUME KAZUNGU HALI ngumu ya maisha imemsukuma aliyekuwa diwani na mwenyekiti wa baraza la mji wa Lamu, wadhifa ambao ni sawa na wa...

Viongozi wataka wanawake Waislamu wasikubaliwe kuabiri bodaboda

Na KALUME KAZUNGU VIONGOZI wa dini ya Kiislamu wanataka kutafuta mwongozo utakaopiga marufuku wanawake na wasichana Waislamu nchini...

Ndani ya ndoto ya wahudumu wa bodaboda wa Kangema ya kuwa mabilionea kuelekea mwaka 2027

Na MWANGI MUIRURI KATIKA miaka ya sitini - 1960s - vijana barobaro lakini waliokuwa na mizizi ya umasikini kutoka kijiji cha Rwathia...

Wahudumu wa bodaboda Thika kupata mafunzo kupitia NYS

Na LAWRENCE ONGARO WAHUDUMU wa bodaboda mjini Thika watanufaika na mpango wa serikali kupitia Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS), kwa...

Wahudumu wa tuktuk Githurai wahimizwa kushirikiana

Na SAMMY WAWERU MBUNGE wa Ruiru Bw Simon King’ara ameahidi wahudumu wa tuktuk na magari madogo aina ya maruti eneo la Githurai 45...

Bodaboda wapiga teke punda Lamu

Na KALUME KAZUNGU WAMILIKI punda katika Kaunti ya Lamu wanazidi kujawa na wasiwasi kuhusu hatima ya biashara yao ya uchukuzi, baada ya...

Bodaboda wagombania ‘zawadi’ ya Uhuru ya Sh3 milioni

NA WYCLIFFE NYABERI SIKU chache tu baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuwatunuku wanabodaboda wa Kaunti ya Kisii kima cha Sh3 milioni ili...

Ni tabia mbaya kuanzisha vyama vya akiba na mikopo kwa lengo la kuwapunja wanachama – Rais Kenyatta

Na SAMMY WAWERU RAIS Uhuru Kenyatta amefanya ziara katika eneo la Pumwani, Nairobi, Ijumaa ambapo amechukua fursa kulaani tabia ya...

Wanaoendesha bodaboda bila leseni waonywa

Na MISHI GONGO AFISA wa trafiki eneo la Pwani Bw Peter Kimani amewaonya vijana wasio na ujuzi kuendesha pikipiki barabarani akisema kuwa...

Bodaboda Mwihoko waandamana baada ya vibanda vyao kubomolewa

Na LAWRENCE ONGARO WAENDESHAJI bodaboda eneo la Mwihoko, Githurai, waliandamana wakidai Kaunti ya Kiambu inawadhulumu kwa kubomoa...

RIZIKI: Ni mwendeshaji bodaboda aliyeacha kazi ya mama-mboga

Na PHYLLIS MUSASIA KWA miaka mingi, Brenda Mbalilwa aliuza mboga lakini mapato kutokana na biashara hiyo hayakutosheleza mahitaji ya...

BODABODA: Sekta inayopaswa kudhibitiwa kabla maji kuzidi unga

Na SAMMY WAWERU BODABODA ni mojawapo ya sekta zilizojiri wengi kupitia mikakati ya urahisishaji utawala wa Rais Mstaafu Mwai Kibaki na...