• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 7:50 AM

KILIMO NA BIASHARA MASHINANI: Kilimo cha mboga za aina tofauti kimesaidia aweze kulipia wanawe karo

Na CHARLES ONGADI WAKULIMA wengi Kaunti ya Kisumu walikuwa na dhana kwamba kilimo cha mboga hakiwezi kushamiri kama ilivyo kwa kilimo...

WATU NA KAZI ZAO: Ukakamavu umemwezesha kujiimarisha licha ya changamoto

Na SAMMY WAWERU BI Irene Maina amesomea upishi, na ni taaluma aliyoienzi tangu akiwa na umri mdogo. Alifanikiwa kupata nafasi ya...

ONYANGO: Rais alifaa kuwa mstari wa mbele Siku ya Chakula Duniani

Na LEONARD ONYANGO ULIMWENGU, siku mbili zilizopita, uliadhimisha Siku ya Chakula Duniani japo maadhimisho hayo yalionekana 'kama vile'...

Siku ya Chakula Duniani: Kenya ingali inakabiliwa na ukosefu wa chakula cha kutosha

Na MAGDALENE WANJA na BARNABAS BII HUKU ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Chakula Duniani - World Food Day - leo Jumatano, Kenya ni...

MAPISHI: Biriani ya nyama ya mbuzi

Na MARGARET MAINA [email protected] Muda wa kuandaa: Dakika 15 Muda wa mapishi: Dakika 40 Walaji:...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Umuhimu wa nyuki kwa chakula na mazingira

Na LEONARD ONYANGO KUNA uwezekano kwamba serikali inachangia katika kudorora kwa uzalishaji wa chakula nchini. Hii inatokana na hatua...

Wanafunzi wa TUM walia bei ya vyakula kupandishwa

  NA STEVE MOKAYA Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kiufundi cha Mombasa (TUM) wameghadhabishwa na hatua ya wenye mikahawa iliyo...

Jopokazi la kuimarisha ubora cha chakula labuniwa

NA MARY WANGARI Serikali imeunda kamati inayojumuisha wadau mbalimbali ili kuwezesha utekelezaji wa sheria kuhusu ubora wa chakula huku...

Dume lachoma mkewe kwa kukosa kumpikia githeri

Na GEORGE MUNENE MWANAMKE amelazwa katika Hospitali ya Kirinyaga akiwa kwa hali mahututi baada ya kushambuliwa na mume wake katika mtaa...

WASONGA: Rotich atangaze mikakati ya chakula cha kutosha

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Fedha, Henry Rotich kesho anatarajiwa kufika bungeni kuwafafanulia Wakenya namna ambavyo Serikali...

Familia 800 za Waislamu zapokea chakula kutoka kwa mbunge wa Starehe

Na SAMMY KIMATU FAMILIA za Kiislamu zaidi ya 500 zilinufaika kwa msaada wa chakula kutoka kwa mbunge wa Starehe, Bw Charles Njagua Kanyi...

Wanafunzi wachunguzwa kwa kufanyia chakula cha walimu ‘makubwa’

MASHIRIKA Na PETER MBURU POLISI nchini Marekani wanachunguza kisa ambapo wanafunzi wa shule moja wanaoshukiwa kuwa walikojolea,...