• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 11:53 AM

Shida kivukoni kufuatia feri 2 kuondolewa

Na MOHAMED AHMED MAELFU ya watumizi wa feri katika kivuko cha Likoni wanatarajiwa kupambana na msongamano mkubwa kufuatia kuondolewa kwa...

Feri iliyosababisha kifo cha mwanamke na mwanawe kutohudumu

Na MOHAMED AHMED na MISHI GONGO HATIMAYE shirika la huduma za feri nchini (KFS) limeondoa MV Harambee kuhudumu katika kivuko cha...

Msongamano Likoni feri 3 zikiondolewa

Na MOHAMED AHMED MAELFU ya watu wanaotumia kivuko cha Likoni watakuwa na wakati mgumu kusafiri hasa msimu huu wa likizo ya Krismasi...

Afa kwa kujirusha baharini toka ferini

Na Mohamed Ahmed MWANAMUME mmoja alifariki Jumapili baada ya kujirusha kutoka kwenye feri katika kivuko cha Likoni. Jamaa huyo...

Serikali kutenga Sh1.1 bilioni zaidi kwa ukarabati wa feri

Na CHARLES WASONGA SERIKALI inapanga kutenga Sh1.1 bilioni zaidi katika mwaka huu wa kifedha kugharimia ukarabati wa feri ambazo...

TAHARIRI: Mabadiliko makubwa yafanywe katika KFS

Na MHARIRI RIPOTI kuhusu uozo unaosakama shirika la huduma za feri nchini (KFS) ni za kuhuzunisha na hatua za haraka zinapaswa...

Hofu feri ikitoboka chini

Na MWANDISHI WETU FERI iliyosababisha kuzama kwa gari na kufariki kwa mwanamke na bintiye wiki chache zilizopita, mnamo Jumapili...

Hofu mabadiliko yakitarajiwa KFS

Na WINNIE ATIENO WASIWASI umewakumba wasimamizi wa Shirika la Huduma za Feri (KFS) nchini, huku serikali ikipanga kufanya mageuzi katika...

KURUNZI YA PWANI: Uchunguzi kubaini gari lilivyozama Likoni waanza

Na MOHAMED AHMED MAAFISA wa upelelezi wanajaribu kutegua kitendawili kuhusiana na ajali ya gari lililotumbukia katika Bahari Hindi...

Feri: Wazee, familia watofautiana kuhusu tambiko

Na MISHI GONGO KULIKUWA na hali ya vuta nikuvute baina ya familia ya mwanamke aliyetumbukia baharini Miriam Kighenda na wazee Wadigo...

Familia yaendelea kusubiri, hali ya hewa ikilemaza uopoaji

MISHI GONGO na HAMISI NGOWA HALI mbaya ya hewa ililemaza shughuli ya uopoaji inayoendelea katika kivuko cha Likoni mjini Mombasa...

Mkasa wa Likoni: Serikali yaomba Wakenya msamaha

Na CHARLES WASONGA SERIKALI kupitia Wizara ya Uchukuzi imewaomba Wakenya msamaha kwa kuchelewa kuanzisha shughuli za kuokoa mama na...