• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Waziri wa zamani Henry Rotich alilipa kampuni ya Italy SH8BN

Na RICHARD MUNGUTI KAMPUNI moja ya Italy iliyopewa kandarasi ya kujenga mabwawa ya Arror na Kimwarer imeishtaki Serikali ya Kenya...

DPP ataka kesi za Kimwarer, Arror ziunganishwe

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP), Noordin Haji sasa anataka kesi za ufisadi wa Sh63 bilioni zinazowakabili...

Yatani akiri alikabiliwa na kibarua kigumu kusawazisha bajeti

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Fedha Ukur Yatani ameungama kuwa bajeti aliyowasilisha kwa Wakenya bungeni Alhamisi jioni ilitokana na...

WASONGA: Bajeti inayosomwa leo haijali athari za corona

Na CHARLES WASONGA BAJETI ya kitaifa inaposomwa leo bungeni kuna maswali mengi ibuka kuhusiana na viwango vya fedha zilizotengewa...

Kushtakiwa kwake Rotich kulimuanika Ruto na wafuasi wake

Na BENSON MATHEKA Kushtakiwa kwa aliyekuwa waziri wa fedha Henry Rotich, maafisa wa wizara hiyo na wale wa mamlaka ya maendeleo ya bonde...

UFISADI: Rotich atumbukia bwawani

Na VALENTINE OBARA SAKATA ya mabwawa ya Arror na Kimwarer katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet, Jumatatu ilimtumbukiza Waziri wa Fedha,...

Rotich kung’olewa afisini baada ya kushtakiwa

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Fedha Henry Rotich na maafisa wengine wa serikali ambao watafikishwa mahakamani Jumanne kwa tuhuma za...

Vitimbi vya ‘Kamata Kamata’ vyarudi Rotich akibambwa

Na WAANDISHI WETU IDARA ya Uchunguzi wa Uhalifu (DCI) Jumatatu ilirejelea shughuli zake za kukamata washukiwa wa ufisadi, almaarufu kama...

Serikali kupimia wazee hewa

Na PAUL WAFULA SERIKALI imewapimia hewa wafanyikazi wanaostaafu kabla ya kufikisha miaka 60 kwa kuwazima kupokea akiba yao yote ya...

Shinikizo Rotich ang’atuke zazidi

SAMWEL OWINO na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Fedha, Henry Rotich Jumatano alirejea tena katika Makao Makuu ya Upelelezi wa Jinai (DCI)...

NGILA: Pesa zilizoibwa na kufichwa ughaibuni zirejeshwe na serikali

NA FAUSTINE NGILA RIPOTI ya Shirika la Kitaifa kuhusu Utafiti wa Uchumi kutoka Amerika iliyotolewa juma lililopita kuwa Kenya ni ya pili...

Wabunge wa Jubilee waapa kumng’oa Rotich ofisini

Na CHARLES WANYORO WABUNGE wawili wa chama cha Jubilee wametoa mwito kwa Rais Uhuru Kenyatta amfute kazi Waziri wa Fedha Henry Rotich...